Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 525
Tarifa iliyowekwa hapa kuhusu matundu ya vyoo kuziba shule ya msingi Mshangano Manispaa ya Songea sasa yamezibuliwa na baadhi kubadilishwa sink.
Ni jambo la heri kwa afya ya wanafunzi na walimu.
Hongera JF na Serikali.
Changamoto zipo nyingi ikiwemo uhaba wa madarasa, madawati na maji.
Tuendelee kupiga spana kwa maendeleo yetu.
Dokezo la shule hiyo kuwa na vyoo vichafu, soma Songea: Shule ya Msingi Mshangano ina vyoo vichafu sana. Ina wanafunzi 914 na matundu 10 ya vyoo