quantumania
Senior Member
- Dec 23, 2015
- 100
- 308
Je huu mfumo nitaweza kutumia kwenye Gbwhatsapp?*WAPENDWA WOTE*
Leo nitawaletea somo la namna ya kupangilia fonts za maandishi yako katika Whatsapp
Kina wakati unataka kuonyesha Kichwa cha habari ama msisitizo kwa ku-bold ama ku-highlight kipengele katika sentensi yako
Fuata njia hizi;
Ku-bold:
Weka alama ya nyota au arsterisks kama ionekanavyo kwenye mabano (*) kila mwanzo na mwisho wa neno/ maneno unayotaka kuyakuza
Kwa mfano;
*Tukiweka kando itikadi zetu*
Vile vile ukitaka kufanya herufi ziwe za mlalo au italic kwa kingereza inakubidi uweke alama ya underscore kama ionekanavyo ndani ya mabano(_) mwanzo na mwisho wa neno/ maneno uliyokusudia
Kwa mfano
_Hakika tutasonga mbele_
Na iwapo utataka ku-strikethrough (nimekosa neno mbadala sahihi la kiswahili)
Basi yakupasa kabla na baada ya neno/ maneno uliyokusudia uanze na kialama kiitwacho "tilde" chenye muinekano huu ndani ya mabano (~)
Kwa mfano
~Vinginevyo maendeleo na demokrasia kwetu itakuwa ndoto za mchana~
Nakutakia majaribio na uandishi mpya.....
***"******"""""****""""***
*MAY THE ALMIGHTY GOD GUIDE AND PROTECT ALL OF US, LOVE YOU ALL*.....
_Best regards_
*WAPENDWA WOTE*

nimejaribu imekataa....
Mbona nimejaribu sijaona badiliko lolote?