Sometimes Bongo vitu bei ndogo mno

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
BONGO sometimes vitu bei poa sana....jana
nimekatiza mitaa ya Karume nikakuta Shuka
mpya shilingi 2,500, ..yaani bei ya soksi halafu
jamaa anasema ni Pure Cotton kutoka
Thailand....aisee kidogo nizirai!
Nikajinunulia shuka BONGO sometimes vitu bei poa sana....jana
nimekatiza mitaa ya Karume nikakuta Shuka
mpya shilingi 2,500, ..yaani bei ya soksi halafu
jamaa anasema ni Pure Cotton kutoka
Thailand....aisee kidogo nizirai!
Nikajinunulia shuka zangu 2...ile ya kutandika ina
maua maua halafu hii ya kujifunika ina picha za
Farasi wenye Mabawa (white horse)...sasa
nimeamka asubuhi Maua yameganda kuanzia
mgongoni mpaka kwenye ulimi..yaani nimekuwa
kama kipepeo wa Katuni za Cinderella....halafu
Farasi nao wamebanduka siwaoni ....sijui
wapo nje? 2...ile ya kutandika ina
maua maua halafu hii ya kujifunika ina picha za
Farasi wenye Mabawa (white horse)...sasa
nimeamka asubuhi Maua yameganda kuanzia
mgongoni mpaka kwenye ulimi..yaani nimekuwa
kama kipepeo wa Katuni za Cinderella....halafu
Farasi nao wamebanduka siwaoni ....sijui
wapo nje?
 
Bongoeeeeeee bongo dar es salaam utalialiaaaa ndani ya dar es salaam..,.
 
Dah pole sana ndugu yangu. Maana inabidi mtu ucheke kwanza hapa. Hiyo ndio bongo, lazima kuishi kwa ujanja ili mtu apate mlo wa siku. Na lazima tufikirie kitu kinachouzwa rahisi hivyo lazima kuna kasoro au ni kitu cha wizi.
 
Hapo ndilo jibu halisi kwamba bongo hakuna cha bei cheee....ukiona bei chee shtuka hilo ni nje cover ya tv ndani zimewekwa box
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…