Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
12,632
51,824
Ukiangali kwa makini kataa ndoa uwa wana hoja sisi tuliooa tunapitia mengi sana.

Yule Mwanamke wa ndoto zako ambaye kuja nyumbani kwako hataki yupo kwa Mchizi anapika na kupakua, hata zile pesa unazomhonga anampatia.

Yule Mkeo uliyemuoa kwa upendo yupo zake hotel anampa tendo Mwanaume wa hisia zake na analia kwa upendo, inasikitisha.

Yule Mumeo umpendaye alikuoa kisa kalio kubwa na zuri, yupo Sinza Uzuri na Manzi Mwembamba ambaye kwenye show anabamba, akirudi unampa pole kwa kazi na boxer unamfulia.

Mume yupo kibaruani anapigana, Mke yupo maskani anachat na Brazamen, thamani ya jasho lako linapendezesha Mkeo anayeenda kupeana raha na Jamaa, mchana wa juakali wakati upo vitani hoi chakari.

Ndoa ni nini? Ni muungano wa Binadamu wawili walioamua kumla Bata hivyo sio busara kumchunguza, itakuumiza.
 
Hoja ya muda mfupi
Upo mihangaiko kwenye Workshop yako mke umeagana nae asubuhi wewe umetangulia na IST yako yeye kafuata na JUKE yake baada ya mda wote mnaingia kazini kumbe mke katoka kampitia mwamba mmoja somewhere wana miadi ya kwenda kaenda kumsugua na kumpa usichompa na yeye mwamba kupewa usichopewa,

Samaki na Jicho hasemi Ila Jicho linakuangalia sasa wewe ushazoea unamla Mkia na kiwiliwili kichwa chenye Jicho linalokutazama ukaacha unampa Paka', mwenzio anapelekewa hampi kichwa Paka' anatafuna mpaka Jicho tena anahakikisha kalifyonza na yaleyale majimaji yake na kulitifua haswa
 
Back
Top Bottom