Soma maandiko upate maarifa: Mwanamke siyo mtu usihangaike naye

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
4,370
5,364
Nashangaa watu wanaojifanya kutaka kuwaelewa wanawake.Unaweza kubadili tabia ya mti?Au tofauti?

Ebu soma biblia hapa chini.

Mithali 18:22
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.

Kama angekuwa mtu kila mtu anajua sentensi ingekaaje hapo.

Hili andiko halihusiani na Siasa tafadhali.

Yanga Bingwa.
 
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA.

Kama angekuwa mtu kila mtu anajua sentensi ingekaaje hapo.

Hili andiko halihusiani na SIASA tafadhali.

Yanga Bingwa.
Eeeeeeeeeee
 
Nashangaa watu wanaojifanya kutaka kuwaelewa wanawake.Unaweza kubadili tabia ya mti?Au tofauti?

Ebu soma biblia hapa chini.

Mithali 18:22
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.

Kama angekuwa mtu kila mtu anajua sentensi ingekaaje hapo.

Hili andiko halihusiani na Siasa tafadhali.

Yanga Bingwa.
Kamwangalie mama yako aliyekuzaa halafu utuambie umemwona ni dudu gani.
 
Nashangaa watu wanaojifanya kutaka kuwaelewa wanawake.Unaweza kubadili tabia ya mti?Au tofauti?

Ebu soma biblia hapa chini.

Mithali 18:22
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.

Kama angekuwa mtu kila mtu anajua sentensi ingekaaje hapo.

Hili andiko halihusiani na Siasa tafadhali.

Yanga Bingwa.

Yaani umetumia tafsiri moja tu kufikia suluhisho ya wazo lako na bado umekosea...

Kwa kuwa umetumia biblia nami nitajikita kwenye kitabu hicho hicho kukukosoa...

Je, mtu ni nani?

Mwanzo 1
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

27
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Kwa tafsiri nyepesi tu toka kwenye haya maandiko toka mstari wa 27, mtu ni mwanamume na mwanamke, kwa umoja wao wanaitwa mtu...

Je, mwanamke ni nani?

Ni mtu mwanamke, kwa maana imeandikwa mwanamke alifanywa kutoka katika nyama na mifupa ya Adam ambaye alikuwa ni mtu mwanaume...

Mwanzo 2
22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
 
Sio wanawake wote.

Wapo wamama ni mtu na nusu.

Mama samia ni mtu na nusu. Mama zetu wazazi watu na nusu.

Kuna wanawake hasa wake zetu. Yaani wengine wana tukosea sana. Mnakulana amekaa tu kama amechomwa sindano ya ganzi, ukimuangalia machoni kama amebanwa na pazia.

Wanawake hawa wanafaa kuwa nao makini maana anaweza akakuzalia mateminator, watoto wa nje anadai wa kwako, wana sura mbaya wakipiga busy nazi inapasuka.

Wake Wanao cheat na kuish na watoto wa uongo si sawa
 
ni vyombo vyetu vya utaamm mazee dah usipimee... hapa juzi kati apo niakiandaliwa mzigo wa krismasiiii nienjoyy
FB_IMG_1703621481541.jpg
 
mwanaume na mwanamke, wote ni Adamu. MWANZO 5:1-

YESU NI MWOKOZI
Mwanzo 5 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;
² mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
 
Katika Mungu hakuna tofauti ya mwanamume na mwanamke. Ndio maana hata mbinguni hakuna ndoa (ndoa zinaishia hapahapa duniani). uke na uume havina kazi mbinguni. "tutafanana na malaika"

Yesu ni Bwana
 
Yaani umetumia tafsiri moja tu kufikia suluhisho ya wazo lako na bado umekosea...

Kwa kuwa umetumia biblia nami nitajikita kwenye kitabu hicho hicho kukukosoa...

Je, mtu ni nani?

Mwanzo 1
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

27
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Kwa tafsiri nyepesi tu toka kwenye haya maandiko toka mstari wa 27, mtu ni mwanamume na mwanamke, kwa umoja wao wanaitwa mtu...

Je, mwanamke ni nani?

Ni mtu mwanamke, kwa maana imeandikwa mwanamke alifanywa kutoka katika nyama na mifupa ya Adam ambaye alikuwa ni mtu mwanaume...

Mwanzo 2
22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
Safi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom