Soma hii halafu uniambie mashabiki wa timu gani ni mbumbumbu

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
6,684
10,940
Nimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama....

Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua mbere.

Embu vyura kujeni mjieleze jinsi mlivyoaminiwa na CAF kuzindua mashindano.

Yanga Uzinduzi wa CAFCL.jpg
 
Ally Komwe ana matatizo sana.. hiyo sherehe ni yao sio ya CAF wahuni wanataka kuwaibia watanzania tu.
 
Business is people, If you want to do good business,(promote sales), you have to tell people what you're doing, (communication skills), remember also there are many ways to kill a rat, similarly Yanga has found an opportunity to promote sales through CAFCL. Biashara ni watu Yanga wameiona fursa ya kujiongezea kipato kupitia CAFCL, wafanya biashara waliofanikiwa wanajua namna,(jinsi), ya kuwapata wateja kuwakumbatia kwa kuwahudumia vizuri na kupata mrejesho ili wasiondoke, kwa taarifa yako Yanga msimu ujao 2025 ni moja ya timu itakayo shiriki Super cup, msiendekeze kubeza wenzenu kumbe mwisho wa siku mtaonekana uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo mnapo poteza muda wenu kubeza wenzenu wanapiga hatua
 
Mbumbumbu katika umbumbumbu

Kweli kama wamejipa title ni mambumbu wanaoelekea kwenye utahira...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Ally Komwe ana matatizo sana.. hiyo sherehe ni yao sio ya CAF wahuni wanataka kuwaibia watanzania tu.
Huu ni utapeli wa mchana kweupe. Halafu uzuri Mungu si Athumani wala Shabani, wamekosa Mkapa sasa mechi inaenda kuchezewa Chamazi. Kwa hiyo mashindano ya CAF yanaenda kuzinduliwa Chamazi Complex!
 
Business is people, If you want to do good business,(promote sales), you have to tell people what you're doing, (communication skills), remember also there are many ways to kill a rat...
Acheni utapeli na udanganyifu. Naanza kuamini hata wale wa "tuma kwenye namba hii" mnawafuga huko huko
 
Kweli kama wamejipa title ni mambumbu wanaoelekea kwenye utahira...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ila toka wajumuishe matokeo ya mechi mbili za ligi wakayaweka katika mabango, nikasema hakuna kitu watafanya kitanishangaza tena ila naona kama bado wananishangaza hiviii
 
Ona hizi mbumbumbu jike na dume tukio la uzinduzi wa AFL lililua mali ya 5imba au la michuano husika? Ndio maana mkawekekewa kwenye mafanikio mtashangilia kama mazuzu
Mwehu wewe...jibu swali kwenye page yao mmepewa hiyo hadhi?
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Nimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama....

Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua mbere.

Embu vyura kujeni mjieleze jinsi mlivyoaminiwa na CAF kuzindua mashindano.

View attachment 3075866
Kwani Ismail Aden Rage alikuwa ni Mwenyekiti wa timu gani? Maana huyo ndiye aliyewaita mbumbumbu wale wanachama waliohudhuria ule mkutano wa klabu.
 
Back
Top Bottom