Solar kwa ufundi na uuzaji wa vifaa vyote vya solar

SNL SOLAR LTD

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
205
26
Karibu Sana SNL SOLAR LTD tunakufikia popote ulipo kwa HUDUMA ZOTE ZA SOLAR pamoja na BACKUP za umeme kwa kutumia technologia ya kisasa na GHARAMA NAFUU.

WARRANTY ZETU NI ZA MUDA MREFU.

TUPO SINZA KWA REMY.

MAWASILIANO 0714373488/0762246488/0784232526
IMG_20170602_101217_756.jpg
 
Nazidi kuwasisitiza mnatuonesha kiroba na wananchi tunataka kujua kilichopo ndani ya kiroba. Tupeni list ya bidhaa mlizonazo na gharama zake ili watu wajue watachagua nini na kuacha nini for example unaweza sema tunauza solar ya gharama nafuu yenye taa 4 na uwezo wa kuchajisha simu na kuwasha redio ndogo kwa gharama flani na tutafanya all installation. Hivo ndivyo tunavyotaka kusikia na si kuweka tangazo lako bila nyama
 
HUYO HAWEKI BEI ZA HZO BIDHAA NINAWAHAKIKSHIA HATOWEKA ANATAKA UENDE MMOJA MMOJA KAMA HUJUI AKUPGE NA ANAJUA AKIWEKA BEI HAPA WATU WATAMZNGUA HASA KAMA KAWEKA BEI ZA KIHUNI.
 
Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
 
Back
Top Bottom