luckyG New Member Jun 18, 2015 4 0 Apr 13, 2016 #1 Habari zenu wana jukwaa mimi naomba mwenye experiences na soko la zao la matikiti mwezi saba au wa nane hua liko vipi hasa kwa miji kama Dar Morogoro au Dodoma. Kwa mwenye kujua naomba msaada wa ufahamu, jibu lako litakua mwanga kwangu ..
Habari zenu wana jukwaa mimi naomba mwenye experiences na soko la zao la matikiti mwezi saba au wa nane hua liko vipi hasa kwa miji kama Dar Morogoro au Dodoma. Kwa mwenye kujua naomba msaada wa ufahamu, jibu lako litakua mwanga kwangu ..