A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,134
- 1,562
Habarini za muda huu Wanajamvi poleni na mihangaiko ya wiki nzima nimekuja hapa kutafuta soko la kuku wa nyama (broiler) kwa Moshi na hata njee ya Moshi kwa sasa kuku Wana week 4 na siku 5 hivyo nipotayari kuanza kuwavuna kwa ajili ya kitoweo naomba kwa yeyote yule mwenye uhitaji na bidhaa hiyo awasiliane na mimi, napatikana Moshi, bei ya kuku mmoja ni shilingi elfu nane (8000).
Karibuni sana na ninatanguliza shukrani kwenu.
Mtanisamehe kwa uandishi na mwandiko wangu!
Karibuni sana na ninatanguliza shukrani kwenu.
Mtanisamehe kwa uandishi na mwandiko wangu!