KERO Soko la Karume limejaa madalali ambao wamekuwa kero kwa wanunuzi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,690
2,958
Soko la Karume limejaa madalali wengi sana (Mawinga) hawa mabwana wamekua Kero sana kwani wanakuvutavuta kukuita na makwazo mengi sana.

Ifahamike kile mteja aanajua bidhaa anayohitaji lakiji hawa wanakuvuta huku mara kule yaani wamekua kero sana. Wengi wao ni walevi na wavuta bangi.

Pia wamekua wakipandisha bei ya bidhaa ili wao wapate Chochote (Ganji) jambo ambalo linamuongezea muuzaji gharama.

Watu wapo tayari ukiwa mkali wakufuate hadi duka unalokwenda ukifika pale muuzaji akimuona tuu lazima apandishe bei ili kuweza kumlipa mtu huyo.

Kama kuna mamlaka au uongozi wa soko unahusika na maslahi ya wanunuaji, basi waliangalie hili suala.
 
Poleni wakaz wa jiji la raha na karaha!huku mkoani hatuna wasiwas ni mwendo wa uhuru na umoja hakuna wa kukugasi zaid ya wachawi usiku ila nao tumewadhibiti kwa upako wa hapo kawe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom