Soko la apps na websites Bongo

Apr 17, 2017
20
27
Kulingana na Tcra, Tanzania ina watumiaji mtandao (internet) million 17.3 kwa namba hzo hili ni soko kubwa sana.

Swali langu kwa wataalam kwenye sekta hii haswa wale wanaojihusisha na apps and websites.

Ni changamoto gani mnakutan nzo kwenye hii sekta?

Maana mm natarajia baadae nkimaliza shule niingie huko?
 
Mimi Sipo kwenye sector hiyo ya web design au app development lakini kama mtu aliyesomea maswala ya biashara naweza kukwambia kuwa ndio Tanzania kuna watumiaji 17.3 million (kwa mujibu wa takwimu zako) lakini hii population haipo "profitable" kwa kuwa % kubwa ya hawa ni watu wa kipato cha chini ambao hawana "disposable income" au ela ya ziada kufanyia manunuzi kwenye hii sector, kama vile kununua apps pamoja na utamaduni wetu wa watanzania kutaka kitu cha wizi hata kama tuna pesa ya kununua original maana unaweza tengeneza app yako nzuri kuuza playstore (maana asilimi kubwa ya simu Tanzania ni Android) kesho kutwa ukaikuta cracked version yako kwenye blog ndio kwangu naona zitakuwa changamoto.

Kwa market kama hii utabidi utegemee ad revenue ambayo yenyewe sio kubwa kihivyo kukufanya uwe the next bill gates. Labda utengeneza app innovative mpaka ipate global traction but kibongo bongo kwa miaka hii 20 sahau.
 
Kwa mfano natengeneza web na app ambayo ni free. Tuseme mtumiaji anatumia free for lets say a week then namcharge subscription 1,000/month au 1,500/month...

Tuseme natoa service ya hand crafted fiction and non fiction stories, comics.

Usiiijudge idea coz sio lengo but unaweza kubuild a company with subscription model??
 

Of course unaweza maana ndio the most successful model kwa sasa kama unavyo ona kwa Netflix. Cha msingi ni research target audience wako ujue kitu gani wanapenda kwa mfano Tanzania wanapenda umbea hence hizi blogs na apps za udaku zinazotokea kama uyoga, Cha pili promotion.

Lakini cha muhimu ni content yako: Je mtumiaji hawezi kuipata mahala pengine bure mfano Wattpad?

Nothing is impossible ndoto yako hiyo kaa ifanyie maboresho, soma kila kitu unacho weza kwenye hiyo sector then go for it.
 
Kwel bro... Ntajitahidi sana kuresearch hii kitu. Original kontent ni muhimu sana. Thanka for yur advice.
 
shida sio kuwa na app au website changamoto ipo kwenye MAUDHUI tunaona wengi wanaanzisha viapp vyao hakini havina wateja maana content hazina mvuto kwa jamii
 
Shida ni kwamba hawa watu wenye uwezo wa kudevelop Apps na website wanakosa idea nzuri inakuwa ngumu sana kupata soko. Inatakiwa wapate idea nzuri wa apps gani soko la bongo linataka
 
Shida ni kwamba hawa watu wenye uwezo wa kudevelop Apps na website wanakosa idea nzuri inakuwa ngumu sana kupata soko. Inatakiwa wapate idea nzuri wa apps gani soko la bongo linataka
Yes, na nlichokuja kugundua ni kwamba mwisho wa sku kitu kikubwa kinachoitajka ni business skills sio programming skills kuifanya web au app kua company
 
Yes, na nlichokuja kugundua ni kwamba mwisho wa sku kitu kikubwa kinachoitajka ni business skills sio programming skills kuifanya web au app kua company
Ukifanya kitu ambacho kina viwango vidogo kiufundi hakuna tofauti na aliyefanya idea mbovu ni viwango vikuba kiufundi. Wote mmefeli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…