Habari zenu wana JamiiForums,
Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye software ya ku-recover memory card yangu maana ina picha nyingi na memory card ipo corrupted maana kila nikizidownload nyingi zinataka kulipia----please help MEMORY CARD DATA RECOVERY YOYOTE ILE