Snoop Dogg alikuwa na wivu dhidi ya Tupac

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,710
Baada ya siku chache kupita ambapo mwana hip hop snoop dogg, kusema kwamba hakuwai kuupenda wimbo wa Tupac "hit em up" (diss track).

Snoop dogg was said: I didn't like this shit like it wasn't like the shit to me like it was buying. You buying more problems girl. Like you buying problems, gangster is everywhere they make them everywhere.

Mmoja Kati ya member wa outlawz Napoleon ambae alihacha mziki mapema miaka ya 2000's baada ya kuslimu na kuwa muislam, amerespond kwenye comment ya snoop dogg kuhusu kutohupenda wimbo huo wa hit em up.

"snoop kuto hupenda wimbo huo hajawai kusema hapo mwanzo, na pia Kuna video ambazo Tupac alikuwa anaimba na kutumbuiza uwo wimbo akiwa na Snoop na Snoop alikuwa akifuatisha lyrics za huo wimbo kwenye tamasha la" House of Blue" na pia alikuwa akitikisa kichwa studio.

Napoleon ameshangazwa na kauli hizo za Snoop ambazo hakuwai kumwambia Tupac uso kwa uso kipindi yupo Hai. Napoleon kaongeza kwa kusema Snoop labda anawivu na mafanikio aliyoyapata Tupac by that time.

Napoleon said: Maybe some of the things he couldn't tell pac face to face, you know, he can do it in these interviews, "Napoleon told the Art of Dialogue." it's sad and one of the reasons why I always try to correct this because him and Pac where friends. I already know why he doin' that, Bro. imagine if you're the biggest star on Death Row, and Pac come and take all your shine, you understand? And 25 years later, pac died, and every time you do an interview, that name is brought up. So maybe he just trying to take that shine from pac. You know what I mean?"

Tupac and Snoop dogg

_20230421_050317.JPG
 
Japo sijui sana, hao wawili walikuwa wala mizizi sana.

Snop aweza kuwa pia ni mmoja wa wanaojua kilichomwondoa Tupac Shakur.

Miaka hiyo Tupac akivaa kata k mpaka amewaharibu vijana hadi leo wanavaa kama yeye.

Snoop akivuta bange mpaka kupewa kibali na mahakama atumie kama dawa.

Wahuni tu japo siyo wana majina makubwa.

Don't try bange.
Kwa nini wasivute bange....,??!!

Snop yaan Huyu jamaa...hope anatua alitengeneneza NYUNGU ya kuvutia bange.,.....🤓
 
Japo sijui sana, hao wawili walikuwa wala mizizi sana.

Snop aweza kuwa pia ni mmoja wa wanaojua kilichomwondoa Tupac Shakur.

Miaka hiyo Tupac akivaa kata k mpaka amewaharibu vijana hadi leo wanavaa kama yeye.

Snoop akivuta bange mpaka kupewa kibali na mahakama atumie kama dawa.

Wahuni tu japo siyo wana majina makubwa.

Don't try bange.
Majina wanayo ingawa bange wanalivuta haswa. Snoopy kaokoka juzi hapa alikua na mkewe miaka yote uzinzi tabia hana.

Na kuwa private kajikalia hotelini miaka yote avute mibangi yake kuepusha mgongano wa familia.
Hela anazo za kutosha na mikataba anayo. Dj snoopadelic ni yeye anapiga show worldwide utasema hana hela.

Juzi tu alikua Australia anakamua kapiga show ya nguvu. Album yake doggstyle mpk kesho anakinga hela tu inauzwa acha zingine.

Hollywood hall of fame ana tuzo yake. Utasema huyo mtu ana njaa. Kanunua Death Row record na anatengeneza nguo brand hiyo, cheni vitu kibao.

Doggstyle pia nguo zinauzwa. Poppadelic nguo za watoto zinauzwa. Yuko vizuri sana. Ni bange tu.
 
Kuongezea Kobe Bryant kabla hajafa birthday yake alipewa gari Cheva ina jezi yake na jina lake na pimp si ya kawaida zawadi ya birthday. Hizo gari snoop anazo km kumi hivi. Movie kibao kacheza

Utasema hana hela. Kanyimwa mwili tu yule jamaa. Flow ya hela anayo mpaka anakufa.
 
Back
Top Bottom