Skrill account restricted

WIMICKY

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
1,437
1,571
Habari naombeni msaada wenye ujuzi na skrill akaunti yangu imezuiwa taarifa wanazozitaka kila nikituma narudishiwa email kuwa zimekataliwa sijafahamu nakosea nini mwenye uelewa zaidi anisaidie
Screenshot_20250423_100349_Skrill.jpg
 
Ulishatumiwa email ya 72 hours ya review?..
Ilishawahi nitokea na nikalisolve..

Epuka VPN... Endelea kuingia kwa mazingira ya location ile ile.
Kama ulikuwa hutumii vpn awali usitumia kwa sasa.
Restricted account inarudi ingekuwa terminated account ndo hairudi
 
Nikituma napewa masaa 24 baada ya hapo wanarudisha email kuwa hajafanikiwa
 
Nikituma napewa masaa 24 baada ya hapo wanarudisha email kuwa hajafanikiwa
Nilituma leseni,nikatuma card ya mpiga kura nimetuma card ya bank sasa sijui na hivo vyote majina yapo sawa na niliyofungulia akaunti
 
Iko hivi sio lazima utume taarifa og zako hizi mambo za huko nje zina reject info nyingi kutokea bongo (tz) hata kama ni sahihi..

Tunachofanya tuna tengeneza info kama bank statement fake ila unaedit na kuwea taatifa kama address na info zote wanazozitambua wao..

Au mara nyngne wanataka bill statement sasa haya mambo bongo hakuna..

Haya yametukiluta sanaa kwenye account za google play console...unakuta leseni kadi ya kura na hata NIDA wanazikataa..
 
Sasa hizo zote wanataka hard copy siyo soft copy
 
Hapo skrill usidhan ni watu wanareview info unazotuma ni robots tu ikipokes ina scan info zote ikikosa info inazozitaka yenyewe inareject automatically..

HApo njia rahisi ni bank statement yenye info ambazo skrill wanazitambua...
Hilo suala una lisolve chap ndani ya saa 24..
Ila ukiendelea kurudia kutuma kitu kie kile ambacho wanakikataa utakuwa terminated na hautoweza kufungua account ya skrill kwa detals zako tena
 
Namaanisha hizo taarifa ziwe mkononi ndo nizipige picha siyo zipo online sasa maana ake nikiomba taarifa bank halafu ni print ndo nipige picha nitume
Sio, hapo unatakiwa ku thibitisha card yako , ipige picha kona zote za card zionekane , na card number ionekane . Kiufupi fuata maelekezo waliyokupa hapo
 
Back
Top Bottom