Nikituma napewa masaa 24 baada ya hapo wanarudisha email kuwa hajafanikiwaUlishatumiwa email ya 72 hours ya review?..
Ilishawahi nitokea na nikalisolve..
Epuka VPN... Endelea kuingia kwa mazingira ya location ile ile.
Kama ulikuwa hutumii vpn awali usitumia kwa sasa.
Restricted account inarudi ingekuwa terminated account ndo hairudi
Unatuma nn..Nikituma napewa masaa 24 baada ya hapo wanarudisha email kuwa hajafanikiwa
Piga customer care faster unasaidikaHabari naombeni msaada wenye ujuzi na skrill akaunti yangu imezuiwa taarifa wanazozitaka kila nikituma narudishiwa email kuwa zimekataliwa sijafahamu nakosea nini mwenye uelewa zaidi anisaidieView attachment 3312852
Card ya mpiga kura inakubalika?Nilituma leseni,nikatuma card ya mpiga kura nimetuma card ya bank sasa sijui na hivo vyote majina yapo sawa na niliyofungulia akaunti
Sasa hizo zote wanataka hard copy siyo soft copyIko hivi sio lazima utume taarifa og zako hizi mambo za huko nje zina reject info nyingi kutokea bongo (tz) hata kama ni sahihi..
Tunachofanya tuna tengeneza info kama bank statement fake ila unaedit na kuwea taatifa kama address na info zote wanazozitambua wao..
Au mara nyngne wanataka bill statement sasa haya mambo bongo hakuna..
Haya yametukiluta sanaa kwenye account za google play console...unakuta leseni kadi ya kura na hata NIDA wanazikataa..
Hard copy...Sasa hizo zote wanataka hard copy siyo soft copy
Iko hivi ukipata softcopy una iprint unapata zile paper za statement kisha unazipiga picha chini kulingana na wanavyotaka..Sasa hizo zote wanataka hard copy siyo soft copy
Sio, hapo unatakiwa ku thibitisha card yako , ipige picha kona zote za card zionekane , na card number ionekane . Kiufupi fuata maelekezo waliyokupa hapoNamaanisha hizo taarifa ziwe mkononi ndo nizipige picha siyo zipo online sasa maana ake nikiomba taarifa bank halafu ni print ndo nipige picha nitume