Siziamini Beki za Kati za Yanga kimataifa

Chendembe

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
442
485
Ni maoni yangu tuu Wadau.
Pamoja na usajili mzuri tuliofanya, naona tumesahau kupata beki Bora kabisa wa Kati mbadala wa waliopo. Tutapata taabu saana katika hili.
Nawasilisha.
 
Ni maoni yangu tuu Wadau.
Pamoja na usajili mzuri tuliofanya, naona tumesahau kupata beki Bora kabisa wa Kati mbadala wa waliopo. Tutapata taabu saana katika hili.
Nawasilisha.
Kwa kuimarika kiungo cha chini itawapa uimara mabeki. Ngoja tuone
 
Ni maoni yangu tuu Wadau.
Pamoja na usajili mzuri tuliofanya, naona tumesahau kupata beki Bora kabisa wa Kati mbadala wa waliopo. Tutapata taabu saana katika hili.
Nawasilisha.
Subiri waanze kucheza izo mechi ndo utajua Kama watatuvusha ama laah! Mpira wa kisasa aumtegemei mtu mmoja au 2, timu inacheza kitimu kuanzia kukaba mpaka kushambulia, ivyo yanga kumaliza unbeaten kwenye mechi zote msimu huu sio kwamba beki peke yake ndo zilikuwa vizuri hapana ni team work ya pamoja kuanzia mabeki, viungo wakabaji na washambuliaji na icho ndicho kitaamia kwenye ligi ya mabingwa kama wameweza kuwa na timu bora kwenye ligi watashindwa nini kwenye ligi ya mabingwa
 
Ngoja tuwaone walioko watadeliver nini, maana msimu uliopita wametufanya tuwe unbeaten.. japo makosa madogo madogo ya hapa na pale hayakosekani
Watubwanazungumzia kimtaifa wewe unasema unbeated na kina mbeya kwanza au kimataifa nako mlikuwa unbeaten
 
Haya mashindano ya CAFCL si ya mchezo hata kidogo,unaweza kuomba bora ungeishia zako hatua za awali coz ukishafika hatua za makundi kuelekea robo huko ni kuzurura tu pende zote za afrika..

Sasa unaweza kupoteza,hata makombe ya nyumbani coz pressure inakuwa kubwa sana..

Wachezaji wanakuwa na presure kubwa sana,na kama hamna mbadala basi inakuwa ndo balaa kabisa.

Bakari nondo mwamnyeto ni beki bora ila anahitaji mbadala na sio ninja wala baka coz spati picha hyo mvua ya magoli kutokea upande wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom