Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 301
- 1,027
'Sio siri tena' hatusemi "Is no secret again". Ndugu zangu, katika post hii niwakumbushe jinsi ya kusema "Sio siri tena"
Nimeamua niwakumbushe baada ya kumsikia mtu fulani akisema, "Is no secret again". Kusema "Sio siri tena", tunasema "It's no longer a secret".
Narudia, "It's no longer a secret" - "Sio siri tena". Ni kweli neno "Again" humaanisha "tena", ila huwa halitumiki kumaanisha "Tena" yenye maana ya ukomo wa kitu fulani.
Kwenye kozi yetu huwa tunafundisha jinsi ya kutumia maneno yanayoonesha ukomo fulani. Kwa waliojifunza kwetu, watakubaliana na mimi kuwa wamejifunza jinsi ya kutumia maneno: no longer, any longer, na any more, kuzungumzia ukomo au mwisho wa kitu fulani. (jiunge na kozi kama unataka kujifunza)
Ni makosa kusema:
1. Is no secret again
2. Is not secret again
3. It is no secret again
4. It is not secret again
Sema: "It's no longer a secret".
Ndoto yako ni kujua lugha ya kiingereza lakini hujui wapi utapata msaada? Jiunge na kozi yetu leo ili ujifunze kuongea kwa ufasaha na kwa kujiamini ukiwa hapo hapo ulipo.
Njoo tukusaidie. Tumeaminiwa kwa zaidi ya miaka 6 sasa kuwasaidia watanzania katika suala la lugha ya kiingereza. Huduma yetu ni kwa mikoa yote tanzania, na hata kama uko nje ya nchi, unaweza kujifunza nasi.
Ada ni elfu 50 tu kwa mwezi. Ukilipia elfu 50 unaanza mafunzo. Kama unahitaji mafunzo ya moja kwa moja darasani, tunapatikana mbezi louis - Dar es salaam. Tumepakana na kanisa Anglican (Mtakatifu Petro). Tupigie 0716107367 kwa msaada zaidi.
Mjulishe yeyote anayependa kujifunza lugha ya kiingereza, au yeyote ambaye amewahi kusoma sehemu fulani akakutana na ubabahishaji hadi akakata tamaa. Mwambie "Mtaalamu wa kiingereza" ndiye mkombozi na suluhisho kwa changamoto yake ya lugha.
Unaweza pia kututafuta kwa WhatsApp namba 0716107367.
Nyote mnakaribishwa!