Chief Godlove
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,532
- 2,119
Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu