Disruptor1
Senior Member
- Aug 9, 2022
- 139
- 385
Daah life la shule bhana so powa aisee.
Wakati nipo form 3 shule moja hivi kusini mwa Tanzania tena mkoa wenye baridi kali nilikutwa na hii fedhea ambayo ni ngumu kuisahau alooo.
Nakumbuka siku hiyo tulikuwa asemble tunajiandaa kuimba wimbo wa Taifa sasa mimi mikono niliiweka mfukoni ko hadi wimbo wa taifa unaanza kuimbwa mimi nilikuwa sijatoa mikono mfukoni ukizingatia na lile baridi la asubuhi huko ukingani. Basi wimbo wa taifa uliimbwa hadi umeisha mimi mikono mfukoni tu.
Kumbe wakati nimejiachia vile nikidhani sionekani duu ticha wa nidhamu alikuwa mbele pale ananichora tu. Wimbo ulivooisha nikashangaa naitwa mbele kwa kiganja.
Nikapanda juu pale alipokuwepo,prefect akagizwa fimbo duu zilivokuja fimbo nilikula kichapo kama cha fimbo 13 hivi zato yaani makalio yote talikufa ganzi gafla.
Alivomaliza akanimbia simama, kisha akaanza kuniamlisha mguu pande mguu sawa mwisho akanambia attention basi mimi nikafata kila alichosema.
Alivomaliza kuniamrisha akawageukia wanafunzi akawaambia kwa dharau alizofanya huyu kijana basi anatakiwa kurudia kuimba wimbo wa taifa peke yake mbele yenu hapa tena kwa sauti kubwa.
Duuh kusikia hivo moyo ulipiga paaaa, ticha bila utani akanambia step foward na uanze kuimba. Aisee nilijitutumua pale nikashusha verse ndo nikaachiwa kurudi kwa wenzangu.
Siku hiyo class nilichekwa na washikaji hatari ndo ikawa stori ya siku nzima kuanzia class hadi Dodoma.
Daah ile ilikuwa bonge la fedhea ukizingatia ile shule ilikuwa na wanafunzi kama 1200+ form one hadi six.
ILA TICHA MBILINYI ULIJUA KUNIFEDHEHESHA, NASKIA SAHIZI UMEHAMISHIWA MBEYA.