Acha ujinga wewee,mtu kauliza swala la msingi wewe unaleta upumbavu.Aliyekwambia uislamu ni kuua mtu asiye na hatia nani?Unaongelea waislamu gani wewe? Au wale wanaosema kuua ndugu yako wapata thawabu kwa allah?
Al shabab.. Boko haram, Hawa boko haram nawajua nilienda kwenye operation dhidi yao, wanaamini kuua Ni kufika akhera.Acha ujinga wewee,mtu kauliza swala la msingi wewe unaleta upumbavu.Aliyekwambia uislamu ni kuua mtu asiye na hatia nani?
Tatizo ni kutoelewa,ni kwamba kuna UISLAM na WAISLAM.Unaweza kuwa muislam kwa kuwa wazazi wako ni waislam lkn uislamu kama dini ina misingi yake na moja ya misingi hiyo ni kutokuua mtu asiye na hatia.Wale wanaoua ni kwa maslahi yao lkn si kwa kanuni ya uislam.Al shabab.. Boko haram, Hawa boko haram nawajua nilienda kwenye operation dhidi yao, wanaamini kuua Ni kufika akhera.
Nadhani hujui maana ya riba,acha nikusaidie; Riba ni biashara inayohusisha fedha tu,mfano unakopa alfu moja unarudisha alfu moja na mia tano.Hiyo mia tano iliyozidi ndio riba ama biashara inayohusisha bidhaa na fedha sio riba.Mfano ukanunua mchele kwa mkulima kwa sh 5000 na kisha ukamuuzia mlaji sh 10000 ni halali kwa kuwa imehusisha bidhaa.Jamaniiii si kuna islamic bank si mwende huko..hizo riba sie wengine twazitaka huku..watu mmetosheka pesa jamanii.basi na biashara msiwe mnafanya..maana kama umenunua bidhaa efu tano alafu ukauza elfu kumi nayo pia dhambii.
Nadhani hujui maana ya riba,acha nikusaidie; Riba ni biashara inayohusisha fedha tu,mfano unakopa alfu moja unarudisha alfu moja na mia tano.Hiyo mia tano iliyozidi ndio riba ama biashara inayohusisha bidhaa na fedha sio riba.Mfano ukanunua mchele kwa mkulima kwa sh 5000 na kisha ukamuuzia mlaji sh 10000 ni halali kwa kuwa imehusisha bidhaa.
Imani yako ni tofauti na yangu so huwezi elewa japo nimekufahamisha kwa ufasaha.Hamna tofauti..zote ni biashara tuu.maana bidhaa pia ni pesa.watu wananunua dhahabu wanakaa nazo ni bidhaa lakini ndo jinsi ya kutunza pesa for future.sasa kama pesa yangu nikamkopa mtu akaenda fanya nayo biashara akadhalisha faida kwanini asinipunguzie faida aliyoipata..wakati na mimi pesa yangu niliipata kwa shida..na ikamsaidia yeye..vitu vingine bana...imekaa kiimani zaidi lakini kiuhalisia sioni mantiki yake..fungueni islamic bank zenu....msituharibie wapenda riba wengine huku
Niliambiwa na bibi yako,vipi una lingine?Acha ujinga wewee,mtu kauliza swala la msingi wewe unaleta upumbavu.Aliyekwambia uislamu ni kuua mtu asiye na hatia nani?
Hahahhahahaha.. .watu mna maneno...unakumbusha ya Westage KenyaUnaongelea waislamu gani wewe? Au wale wanaosema kuua ndugu yako wapata thawabu kwa allah?