Sisi wote ni wachawi sana sema tu hatujuani!

Kong xin cai

Member
Dec 12, 2020
61
70
Kama kichwa kinavyojieleza, sisi wote ni wachawi, umeanza kulogeshwa tangu ulipozaliwa. Sema tunajiificha tu na unafiki WA kivuli cha dini zetu ila nyuma ya maisha yetu kumejaa uchawi, uzinzi, ushirikina na kila aina vikorombwezo vipo huko.

We endelea kuamini Kila mtu Kwasababu ya maneno Yao, dini zao, uongeaji wao. Ukweli ni Kwa sisi ni wachawi.
Waulize wale mabibi waliokuja mara tu ulipozaliwa, aloo sisi ni wabaya sana sema tu hatujuani
😂😂😂
 
Back
Top Bottom