Acha dharau kwani hao sio watanzania.Hawa ndio walikuwa tumaini la Lowasa kumpeleka ikulu
Waambie waache kuzungusha mikono,Mbowe alishauza cha, warudi wapige kaziAcha dharau kwani hao sio watanzania.
Wameandika wenyewe au wamelazimishwa??
Mbona tumesikia walikutwa na kadi za UVCCM mifukoni?Waambie waache kuzungusha mikono,Mbowe alishauza cha, warudi wapige kazi
Hawa ndio walikuwa tumaini la Lowasa kumpeleka ikulu