Sirro:- Tunataka majibu kwa maswali haya

Nasikitika kauli nyingi zipo katika mfumo wa figisu na malumbano yasioweza kuwa msaada kwa lolote!ebu Watanzania tujitahidi kudumisha umoja wetu na mshikamano tuepuke figisu na chuki binafsi hasa tuepuke kutaja taja majina ya watu kwa matukio ambayo hatuna or evidence kama ni siasa kila mtu abaki na itikadi yake bila kuvuluga uhuru na imani ya mwenzake ,tutabaki kuitwa Watanzania tu hata kukiwa ktk jambo fulani tushikamane kwa maswala mhimu ya husuyo Taifa letu na jinsi gani yapatiwe ufumbuzi wa kudumu na si vinginevyo by balozi wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…