Siri ya Makonda na Magufuli

hawajiamini ...
Mkuu sijaelewa kwa nini unaona hawajiamini. Magufuli ni mkatoliki Na jana ijumaa kuu ibada iliambatana na kubusu msalaba kwa kila muumini.... Hapo hajiamini kwa Vipi?
 
Mkuu ndio hivyo labda atokee mwingine before 2020 otherwise Paul anang'aa
Kwani Makonda anaumri gani? Hafu mind you haijawahi tokea sitting president kufanikiwa kumweka mtu anayemtaka katika ngazi ya urais ili amrithi tangu enzi za JKN 1985
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…