Mende mdudu
Member
- Feb 13, 2023
- 52
- 103
Kila mtu anataman kua katika hali nzuri na kukua kwa uchumi. Ila kuna mambo ambayo yanaitajika ili ufikie kwenye mafanikio hayo
Kitu cha kuanza nacho, haujishungulishi na kitu utakuaje tajiri kwa kukesha netflix, fanya chochote ata cha kuku ingizia mia miambili, ata Mungu ana bariki pale kweny chochote.
Hata Musa alivyo kua anaitaji kuvuka bahari aliuzwa na Mungu umeshika nini mkononi akasema fimbo akamwambia ipige kwenye maji ikapatikana njia vipi kama musa asingekua na kitu mkononi angefanyiwaje miujiza na Mungu?
Ata Yesu na wanafunzi wake walikua na vipande vitano vya mkate na samaki wa wawili visinge tosha kwa watu zaid ya elfu tano ila yesu akavijaza vyakula wakala na vikabaki, vipi kama wasingekua ata na mikate mitano na samaki wawili?
Ata ukimfata tajiri kwenye kilabu cha pombe hato kupa kazi atakupa offer tu, ulewe kesho uje kumuomba tena.
Akuna alie tajiri bila kujishughulisha
Utajiri hauji kwa bahati mbaya
Tuendelee kupambana wakuu.