Sipendi kuambiwa "Oya Vepe?" Ni ujumbe gani ukiuona tu, unajua unaye-chat naye hana akili?

0005

JF-Expert Member
Apr 12, 2025
306
455
for educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions.

Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu.

Mimi mtu akinisalimia tu "VEPE .. " basi kanikosa ... Simjib text Hadi kesho . Akirudia Tena bas naachana nae.
 
Yaani mtu kakutext yeye alafu anakwambia "Niambie" as if kuna kitu tulikubaliana before.
 
Back
Top Bottom