Sioni sababu ya Watu (hasa wana Simba SC ) Wenzangu Kulalamikia Tuzo ya Beki Bora aliyopata Dickson Job

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,948
119,241
Wana Simba SC Wenzangu hivi kweli tukuacha Unafiki wetu na Roho Mbaya yetu iliyopitiliza Beki wetu Henock Inonga kacheza vyema kwa Msimu huu kuliko Beki wa Yanga SC Dickinson Job?

Dickson Job ambaye Kacheza vyema Beki wa Kati, Beki za pembeni ( Kulia na Kushoto ) na Kazimudu villivyo unaweza Kumlinganisha na Beki wetu Henock Inonga ambaye kacheza namba yake moja hiyo hiyo tu ya namba Tano?

Najua Kuna baadhi mtakurupuka na kuja kusema kuwa Inonga Kafunga Goli mkisahau / mkijisahaulisha kuwa hata na Job nae alifunga Goli katika Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika hivi karibuni.

Inonga ni Beki wangu Simba SC na namkubali sana tu ila tusifichane kwa Msimu huu hajacheza vyema kama Msimu uliopita na kama labda kuna Tuzo pekee ya Kutukuka Henock Inonga hajapewa ni ile ya kupenda Sifa za Kijinga na Kucheza na Jukwaa na kujifanya anajua Mpira kuliko Wenzake wakati Wengine tuliocheza Mpira, Kuutizama na hata Kuuchambua tunamuona ni Beki wa Kawaida na hajafikia hata 50% waliyokuwa nayo Mabeki wa Simba SC Victor Costa Nampoka na Patrick Betwel Buba Mmasai.

Dickson Job (Beki wa Yanga SC) hongera yako sana mdogo wangu wa Misufini Morogoro (japo sasa Umehama) na hiyo Tuzo ya Beki Bora wa Ligi Kuu ni halali yako na Kaka zako tuliokuona ukicheza Ndiki (Mpira) Uwanja wa Saba Saba Morogoro na hasa ule wa nyuma ya Soko la Chief Kingalu jirani na Nyumbani Kwao Fundi wa Ufungaji Magoli nchini Zamoyoni Mogella (alias Golden Boy) wala hatushangai kwanini Umeshinda hiyo Tuzo kwani una Kipaji kikubwa, Uvumilivu na Nidhamu Nzuri ya Kuzaliwa uliyopewa na Wazazi wako Wapendwa uliowajengea Nyumba nzuri na sasa wanakula Matunda yako.

Mwenyezi Mungu azidi Kukuinua DNJ.
 
kweli kabisa
 
amina
 
Back
Top Bottom