Sioni cha Ngoma wala Kamusoko 'The Might Worroers'

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Nangalia mechi ya Kufuzu Kati ya Zimbabwe na Swaziland

Nashangaa kutowaona Kamusoko na Ngoma walau hata nje ya benchi

Kumbe magarasa kwao
 
Na hii ndio sababu waarabu wanatupiga home/away sababu tunasajil magarasa alaf wakija bongo tunawakauza kuwa mastar kwa kuwapamba na magazet
 
Hawa kwao ni magalasa tu, hakuna professional wa ukweli ambae yupo bongo kwa sasa, alikua Okwi tu wengine wote hamna kitu ila kwetu ni lulu.

Vipi Niyonzima?
 
Nangalia mechi ya Kufuzu Kati ya Zimbabwe na Swaziland

Nashangaa kutowaona Kamusoko na Ngoma walau hata nje ya benchi

Kumbe magarasa kwao
Kwa hiyo Kazimoto na Hajib wana viwango kuliko Ngoma & Kamusoko kwa sababu wanacheza timu ya Taifa ?
 
Nangalia mechi ya Kufuzu Kati ya Zimbabwe na Swaziland

Nashangaa kutowaona Kamusoko na Ngoma walau hata nje ya benchi

Kumbe magarasa kwao

Watoto wa Manara mna shida sana. Haya basi ni Magalasa, lkn unazo kumbukumbu ni nani aliwagaragaza mara 2 Taifa? (Kampa, kampa tena?)
 
Sasa hivi Simba Koko wanapiga mpira wa MALALAMIKO. Full kubana pua, eti HATUPELEKI TIMU UWANJANI mpk Tambwe afungiwe,...... akili za mchezo zimeisha sasa majungu.
 
hahahahah, ingekuwa ni hivyo basi kuna magarasa mengi sana duniani....kama unamjua Sisto aliyewagonga man u nje ndani, basi yule ni mganda lakini hana cap hata moja the cranes....ni juzijuzi tu wadenish wameona umuhimu wake na kuamua kumuita kikosini kwao baada ya kusahaulika na waganda....naimani utasema okwi nae ni mkali kuliko huyu jamaa
 
Usitumie nguvu nyingi kuwaelekeza hao mikia, Acha waendelee kubana pua kana Msemaji wao Haiji Kung'ara. Ila ngoma huyo huyo mbovu ndie aliyemtanua nyonga kipa wa Chelsea Vincent Angban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…