Sioni Azam akishiriki CAF champion league msimu huu

Mr mutuu

JF-Expert Member
Jan 27, 2023
2,625
13,143
Kwa utoto alioufanya Azam msimu uliopita akashindwa kufuzu shirikisho vs sijui kale ka timu ka wapi sioni Azam akicheza champions league msimu ujao

Azam akishinda mechi ya kwanza hatua za awali anatakiwa apambane na fc Pyramids ya Misri, tena anaanzia Chamazi anaenda kumalizia Misri sioni akaiwatoa Pyramids

Tanzania itawakilishwa na timu Moja tu cl ijayo, what a waste
 
Mayele anakuja tetema hapa chamazi au sio
 
Tulisema mapema, kwa mustakabali Mpana wa ligi yetu Bora hata kolo awe anamaliza wa pili, kolo asingefungwa na Hawa apr
 
Dah Mr mutuu ulisema kweli jembe Azam wanatakiwa ligi uliisha wawe wanakatwa point ili wakose nafasi ya kwenda kuliaibisha Taifa...
I hope msimu ujayo nafasi itachukuliwa na Singida black stars
 
Azam Bora hata kakwepa aibu ya pyramids, nafasi ya CAF cl imeenda kizembe sana
 
Back
Top Bottom