Siombei Ila Am Confident Kutabiri CCM sii tu itaondoka Madarakani Bali Ita collapse from Within!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Kuna Msemo Unaosema Ufalme Ukifitinika Hauwezi Kusimama! Unabii huu soon utatimia Kwa CCM ya Tanzania, how soon? I can comfortably say within the next few years meaning Less than 10 years! Mark my words. Labda Jambo kubwa sana Litokee ku reverse hii trend ninayoiona.

Siombe CCM ife, Na hofu yangu ni Kwa Vile naamini Kuwa CCM kuna watu sio haba Wazuri tu na Wa Msaada kwa Nchi, Ila shaka hiyo miezi kama miwili imenitoka They will be Just Fine! Sina haja ya Kutoa Maelezo ya Kina hapa kwa Kuwa sitaki Kuwapa Faida nisiotaka waamke.

Ila ukitaka Kujua Nachosema Kukitokea Tena Mkutano Mkubwa wa CCM wasome body language wajumbe! This is just 5% ya Vigezo.

Kwa Kumalizia Niseme Kwamba CCM will collapse soon Under Magufuli Chairmanship is inevitable! The question is when.
 
The answer is THE SOONEST!!! because the sun is going to Chiolu and it is half past late....
mark my words its half past late
 
Hapo ni sawa na fisi kutembea akinyemelea mkono wa binadam udondoke
Haya Ndugu, Nikupe ishara? Mtakapoona ZANUPF Inanyanyuka na CCM chimbeni Kaburi ZANUPF ikikatiza Miaka 2 bila kuvunjika vipande saba kidogo niite Mbwa!
 
mkuu, CCM ni kama majini.
huwa yanaishia kuchinjana tu bila kutoana roho.
si unaona yalimchinja Lowassa na badala yake wakatuletea mtu ambaye kwa kinywa chao wenyewe wamekiri ni "kinyago"!
 
Mkapa na JK sijui kwa sasa kama wako happy na haya yanaoendelea.
Saa hizi wanaumwa matumbo ya kuhara. Woga na majuto vimewajaa maana isingekuwa kinga walio nayo Sizo angewafanya kitu mbaya. Wawili hawa hawana amani kabisa!

Binafsi siikubali approach ya Sizo ya keleta tension kwa wananchi. Kungekuwa na institutions imara yote yangefanyika bila kusababisha panic kwa kila mtu.

Anyway, yana mwisho haya!
 
Mimi naomba usiku na mchana ife na wala isizikwe , isije ikafufuka , ni bora ichomwe moto kabisa .
 
Hapo ni sawa na fisi kutembea akinyemelea mkono wa binadam udondoke

Fisi wengine wala hawasubiri udondoke, bali wanaukata kwa meno yao makali iwapo tu wakiona haudondoki haraka ili kumaliza njaa yao......

Tuna njaa kwelikweli, hakika hawapaswi kuusubiri bali kukatia hukohuko juu kwa juu huo mkono wa CCM wafilie mbali huko.....

Tumechoka kusubiri eti udondoke wenyewe !!!!
 
Bila tume huru ya uchaguzi yenye kuvishirikisha vyama vyote vyenye wabunge kwenye NEC kulingana na idadi yao kivyama andika maumivu makali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…