Sio tu kulipa faini sisi mashabiki wa Simba tuko tayari kuchangia timu ifanye usajili wa maana na hata kulipa wachezaji mishahara

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,617
10,181
Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu

Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia timu yetu kipenzi simba ili isonge mbele zaidi ya ilipo sasa

Tuko tayari kuipigania timu yetu simba ahmed ally piga kazi usione aibu mtu wewe ni msemaji bora ambaye hajawah tokea hapa Tanzania usichoke kuhamasisha watu
Tsh changia timu
Scars changia timu
SAYVILLE changia timu
 
Akili za kuambiwa za mashabiki changanya na za kwako,,mudi tu alisema mchangie kujenga uwanja akatoa bilioni 2 lakini pesa waliyochanga mashabiki mpaka sasa aijulikani iliishia wapi na ilikuwa shingapi jambo likayeyuka kama barafu,,Leo hii unasema mchangie timu mtaweza au ni mihemko tu kama ya bosi wenu!
 
Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu

Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia timu yetu kipenzi simba ili isonge mbele zaidi ya ilipo sasa

Tuko tayari kuipigania timu yetu simba ahmed ally piga kazi usione aibu mtu wewe ni msemaji bora ambaye hajawah tokea hapa Tanzania usichoke kuhamasisha watu
Tsh changia timu
Scars changia timu
SAYVILLE changia timu
Wazo linaweza kuwa na nia nzuri ila Simba siyo klabu inayopendelea saaana kuendesha timu kwa njia ya kukusanya michango.

Hata hili la adhabu nadhani limesukumwa na mashabiki na Ahmed Ally kalipigania kwa kulifikisha kwa uongozi bila hivyo hii pesa ilikuwa inaenda kulipwa kimya kimya tu.

Hata hivyo nimependa hili zoezi lililofanyika limeonyesha uwajibikaji wa mashabiki ili wachezaji na viongozi nao wakumbuke wajibu wao.

Watu mnasahau kwenye kusajili ni zaidi ya signing fee, kuna mishahara na majukumu mengine kwa mchezaji anayesajiliwa. Sawa mmejikusanya mkapata milioni 600 za kusajili mchezaji. Mshahara wake milioni 50, hiyo ni sawa na milioni 600 nyingine kwa mwaka, hiyo atatoa nani? Hapo hata sijaongelea wachezaji wa bilioni 1.5.

Muhimu ni kuwa wabunifu na kuwa na project endelevu zitakazoongezea klabu mapato katika utaratibu rasmi unaoeleweka.
 
kwa uongozi wa Mangungu sitoi hata senti tano afadhali Dalali alikuwa anatafuta pesa anafanya kitu kinaonekana kama uwanja wa Bunju, pesa za michango ya uwanja wameila.
kama viongozi wa Simba wangekuwa wakweli wangepata pesa nyingi kwa washabiki maana ndio wana uchungu na timu.
 
Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu

Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia timu yetu kipenzi simba ili isonge mbele zaidi ya ilipo sasa

Tuko tayari kuipigania timu yetu simba ahmed ally piga kazi usione aibu mtu wewe ni msemaji bora ambaye hajawah tokea hapa Tanzania usichoke kuhamasisha watu
Tsh changia timu
Scars changia timu
SAYVILLE changia timu
Asione aibu au ndiyo majukumu? Yanga kila mwaka wanachama wanatoa 1b
 
Daaa vijana wa Rage nikama kusikia kwakenge nimpaka dam iwatoke puani, juz tu hapa mmepigwa pesa zauwanja naleo mnajichangisha tena ..... mbumbumbu oyeeee
 
Back
Top Bottom