Sio mikito tu, hata kuongea kumo

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Making Love sio adhabu...Sio assignment inayoenda kusahihishwa...Usiwe so serious ukiwa unafanya Mapenzi utadhani umewekewa target na
bosi basi unakimbia kimbia bila kujua uelekeo unaoenda ni sawa au si sawa...

TULIA....Ongea na Mpenzi wako,anajisikiaje,ulipogusa ni sawa au si sawa,TALK...Inasaidia kupunguza Tension na kulifanya Tendo kuwa adventurous...Kuongea wakati wa tendo kunamsaidia pia Mwanamke kufika kileleni kwa urahisi coz anakuwa at ease state, na anakuelekeza nini cha kufanya....

Sasa kama we ni kidume unarukia tu kama umeona Bajaj za Mwenge, hujui anasikiaje we upo tu kama unajaza upepo..HATUENDI HIVYO...Communication
is Power...Ongeeni,sio mnagunaguna tu no talk utadhani mnasaga Mahindi..Mapenzi hayaendi hivyo, Mapenzi ni sanaa...Kuweni wabunifu mtaona
tofauti...
 
i would rather be the first to reply, love you and all of you i mean.
 
au wengine kama wanatwanga mahindi au kaambiwa kuna nyoka humo ua loh .. ...... mwingine anachovya chovya tu akiongea ni akiwa anakaribia kumaliza.........

ila kuna wengine wanaongea wanaboa kaweka tu utasikia unajisikiaje jamanii si umechomeka tu.. au maswali ya kijinga me mtamu ? me nakufanya vizuri kuliko wengine? mjiamini
 
hahahahhaha, akiniuliza nakufanya vizuri kuliko wengine nachomoa

kikikikikkkkk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…