Sio Kwa tetemeko Kagera Tuu, pia kwa tourism

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Serikali haipo makini katika mipango yake

Serikali imekosa mkakati

Pesa ya Tetemeko la Kagera wasamaria walichangia..Serikali imedivert

Tourism Levi ambayo Tour Operators na Hotel wanalipa ili kutangaza utalii, Serikali Imekomba

Kuna Tourism Development Levy...Private companies wanalipa ili TTB watangaze utalii..matokeo yake serikali sijui wapeleka wapi hizo pes

Look: Naongea Kwa Takwimu - maana najua wale mavuvuzela watakuja kupinga

Tangu 2013 - Tourism Development Levy (TDL) imelipwa 25.5 million

Ila Serikali wamewapa TTB 2.3 Million peke yake

---Wao wanakurupuka tu na Kuongeza VAT

Li mTu tu (waziri Mzigo) anasema Tunataka Watalii Matajiri

Watalii matajiri kwa miundo mbinu ipi labda

Shame to you...

Source: http://www.thecitizen.co.tz/News/Bu...udget--Tato/1840414-3869062-gibe74/index.html
 
Halafu kibaya zaidi wanapiga propaganda

Visitors to Tanzania is Tourists?

Business people Plus Tourists
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…