PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa. Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi, unafanya hivi na vile lakini hakuna kitu.
Umekuwa na ndoto zako za muda mrefu, unaamini zitakupa sana pesa, unajipanga lakini ghafla ndoto zinakwenda na maji, ndoto hazitimii hata kidogo.
Maisha ya vijana wengi yana nuksi, yana mikosi mingi mno, na hii yote ni kwa sababu ya kufanya mapenzi na kila mtu. Nuksi ya binadamu inaweza kumuingia mtu mwingine kupitia ngono, yaani unafanya mapenzi na mtu fulani, ana nuksi zake, naye anakupa zako.
Vijana tumeweka utamaduni wetu wa kujisifia kulala na kila mwanamke, hatujui kwamba ndiyo tunajimaliza bila kujua. Unafanya mapenzi na mwanamke halafu ghafla unaanza kuona mambo ya ajabu ajabu.
Ulikuwa unapata pesa nzuri tu, ghafla mirija ya pesa imekata, kila ulilokuwa unalifanya linafanikiwa, halafu ghafla tu hakuna kinachofanikiwa tena. Unakaa chini na kuanza kujiuliza umekosea wapi, bro! ulipokosea ni kwamba umemvua chupi kila mwanamke aliyepita mbele yako.
Shetani amefanikiwa kwenye hili, anaendelea kutuumiza vijana kwa sababu ya tamaa zetu, kuna wanawake wengi sana wanabeba roho za ajabu, wamebeba mikosi ya kifamilia, mikosi ya ukoo, wanawake hawa ukipita nao, na wewe unapewa mikosi hiyo.
Mwanamke mwenye mikosi akifanya mapenzi na wewe, anachukua bahati fulani uliyokuwanayo na yeye kukupa mikosi yake. Kuna vijana wengi wamepoteza kazi, pesa, mawasiliano mazuri na watu kwa sababu ya wanawake. Shetani anawatumia sana wanawake kuyaangamiza maisha ya wanaume wengi tu.
Kabla ya kufanya mapenzi na mwanamke, anza kuangalia bahati yake, je, ni kismati, je, nikifanya naye mapenzi kuna kitu nitakichukua kutoka kwake, kama hakuna, ndugu yangu achana naye.
Mwangalie Diamond, amegonga mademu wengi maarufu, lakini amegonga wale mademu ambao wana kitu fulani hivi. Mfano Wema, Zari, Tanasha, Jokate na wengine, amekwenda sehemu ambapo kumemfanya kuondoka na kitu fulani, sasa wewe ndugu yangu unakwenda kulala na mwanamke ambaye hana hata nuru ya mafanikio, unategemea utawezaje kusonga mbele kwenye hilo
Huwa wakati mwingine nakaa na kuwashangaa wanaume wanaojisifia kulala na wanawake wengi, utasikia nimepiga mademu 200 mpaka sasa hivi, ni sifa lakini kiroho unakuwa unajimaliza mdogo mdogo.
Zamani ulikuwa unafanya biashara kubwa tu, sasa hivi hakuna kitu, zamani ulikuwa unapata connection nyingi za watu, sasa hivi hakuna kitu. Umekuwa na mikosi mingi kwa sababu ya wanawake, umekuwa mtu wa kuyumba kiuchumi kwa sababu ya wanawake.
Wengine mikosi inawapelekea mpaka kupata ajali. Unashangaa tu yaani umepata ajali isiyoeleweka. Tunachukua roho nyingi sana kutoka kwa watu wasioeleweka, wanawake wengine wana mauchawi yao, ukilala nao tu, imekula kwako.
Kuna mchizi wangu mmoja wakati anaishi Ubungo aliwahi kupata demu fulani, sikuwahi kumuona ila aliwahi kunihadithia kuhusu yeye. Yule demu alidata kwa mshikaji wangu, alichanganyikiwa, kila siku akawa anampelekea msosi, alitaka kuolewa lakini mchizi si muoaji.
Baada ya kumuacha, kila kitu chake kilikwenda kombo, alijitahidi kupambana lakini wapi! Akafanikiwa kushauriwa kutumia dawa za kienyeji, akakutana na mtu ambaye alimuunganisha na mzee mmoja, akamfungua, akaondoa ile mikosi na mambo yake yakaanza kwenda mbele. Akaachana na huyo mwanamke.
Tunajiulizaga tu kwa nini wanaume wenye mafanikio wanafanya mapenzi na wanawake wenye pesa? Kwa nini matajiri watoto wao wanaolewa na watoto wa matajiri wenzake? Kuna mambo mengi sana ya mikosi mahali hapa watu wanayaepuka.
Kuna mambo mengi sana vijana tunatakiwa kuwa nayo makini kuhusu wanawake, kama unajua hapa unagonga na kuondoka, kamwe usimpeleke gheto kwako.
Popote pale utakapofanya naye mapenzi, hakikisha ukimwaga nje unafuta kwa kitambaa ambacho ni chako na si cha mwanamke, ukitumia condom hakikisha ukizimwagia wewe ndiyo uitupe chooni, usimuachie afute shahawa zako kwa kitambaa chake, USIMRUHUSU.
Nakwamba haya kwa kuwa nimeyaona. Mara nyingi wanawake wanahitaji uchafu wako, wanahitaji jasho lako, ukimpa nguo yako, umekwisha, achana na mambo ya kuwapa wanawake nguo zako hovyohovyo.
Demu anakuja gheto, umempa boksa aondoke nao, amekuja gheto, umempa fulana aondoke nayo, bro! huyo mwanamke akitaka kukufanyia ubaya, huchukui raundi hata moja, imekwisha hiyo.
Unafutia shahawa zako kwa kitambaa chake, akiondoka nacho, yeye anamwambia tu babu…shahawa zake hizi hapa, umekwenda na maji.
Acha kununua malaya! Malaya wanafanya mapenzi na wanaume wengi wa hovyo, unapokwenda kufanya naye mapenzi, unachukua nuksi zake, unaanza kuhangaika, si jambo jema kufanya mapenzi na wanawake wanaofanya mapenzi na wanaume wengi.
Inawezekana unafanya mapenzi na watu hao, halafu unajiambia mbona mimi mambo yangu yanakwenda poa tu…huyu jamaa muongo…bro! Mambo yako yanakwenda pia ila kama usingekuwa unafanya mambo hayo yangekuwa poa zaidi ya hapo.
Leo nakwambia…acha kugonga kila demu anayepita mbele yako. Mtu anasema mwanaume akioa anaanza kufanikiwa. Hapa nikwambie kwamba mwanaume akioa, anakuwa anagonga mwanamke mmoja, mara nyingi idadi ya wa nje inapungua na ndiyo maana unaanza kuona mambo yake yanafanikiwa na kupiga hatua.
Nikwambie jambo moja. Kuanzia leo acha kuvua chupi za wanawake hovyohovyo, kajisafishe halafu yaangalie maisha yako baada ya miaka miwili, hautokuwa tena hapo ulipokuwa.
Wanawake wanaleta nuksi. Shetani ameifanya ngono kuwa rahisi kwa sababu ndipo alipoweka anguko la vijana wengi. Unakaa na kusema “Siku hizi demu akizingua unaachana naye, kwanza ngono inapatikana kiwepesi sana sasa hivi.” Bro! shetani ameweka ngono ipatikane kirahisi kwa sababu anataka kukuangamiza.
Kuna wanawake nao wajanja, hawafanyi mapenzi na wanaume wasiokuwa na mafanikio fulani. Kwa nini wanatamani kufanya mapenzi na Diamond? Unadhani kwa ajili ya pesa tu? Wanajua ukifanya mapenzi na yule jamaa kuna asilimia fulani ya nyota yake unachukua, ndiyo maana hawakauki.
Huna pesa, unataka wanawake wazuri uwavue chupi, huwezi kwa sababu nao wanajua huna cha kuwapa, una nyota chafu, utawapa nini?
Nimewazungumzia wanaume, kwenye kila neno mwanaume, weka mwanamke kwa sababu hili somo ni la jinsia zote.
Aya wikiendi hiyo inakuja…nendeni kachukueni nuksi zenu ili Disemba muanze kupiga kelele mwaka ulikuwa mbaya na michongo haikufanikiwa.
Good lucky bro!!!