Sio kila anayejiita Mtumishi wa Mungu ana sifa za kukuongoza

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
1,069
2,584
Ukihubiriwa na Mchungaji mjinga na wewe unakuwa mjinga kama alivyo yeye maana ujinga unakawaida ya kuambukiza kadri unavyousikiliza.

Mtu kujiita Mtumishi wa Mungu isiwe sababu ya wewe kumuamini kwa urahisi mpime Kwanza kama anazo sifa za yeye kukuongoza
 
Mwenye kujiita mtumishi wa Mungu kakuzidi akili na anataka kukuibia.

Zawadi ya upako haitoki juu, bali inaanzia akilini mwako tu.

Kwanini mnapenda kuishi kwa kuamini kuliko kujua
 
Sikuizi kwa sababu ya changamoto za maisha inafikia sehemu tunamuamin kila mtu anayetumia jina la Mungu
Umenena vyema , akili inayopitia matatizo huwa imechoka haina maamuzi ndio maana watu wanakanyagishwa wese la upako kibiashara
 
Mwenye kujiita mtumishi wa Mungu kakuzidi akili na anataka kukuibia.

Zawadi ya upako haitoki juu, bali inaanzia akilini mwako tu.

Kwanini mnapenda kuishi kwa kuamini kuliko kujua
Mtu hawi Mtumishi wa Mungu kwa kujiita Bali utumishi wa Mungu unapimwa kwa matendo ya mtu
 
Back
Top Bottom