Single mothers wana hali mbaya katika nchi zilizoendelea kuliko nchi masikini.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
6,002
19,468
Habari.

Kumekua na hii tabia ya watu kukashfu wanawake wenye watoto bila baba zao yaani single mothers humu na katika jamii yote inayotuzunguka na kuwanyanyapaa single mothers.

Hali ni mbaya zaidi kwenye nchi zilizoendelea mfano Japan ambapo single mothers huadhirika sana na kua single mother Japan ni kujitakia aibu isiyo na mfano.

Hii tabia ya kuwamistreat single mothers haipo tu huku kwetu Tanzania na Afrika kwa ujumla wake bali pia iko pia nchi zikizoendelea.
Unaweza kujisomea mwenyewe.


In Japan, single mothers struggle with poverty and with shame In Japan, single mothers struggle with poverty and a ‘culture of shame’
 
kwa hiyo,huyo single mother anae struggle with poverty and a culture of shame umlete aishi Tanzania atakubali?? Poverty ya Japan ni more then above by 80% middle class ya Tanzania
 
Mwanamume kumchukua singo maza unapata thawabu nyingi sana maana una wastiri yaani mimi kwangu nikimpata siwezi kumucha thawabu zinipite kizembe hapana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…