heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,527
- 10,240
off
Hahaa mtumwa hummis mtesi wake na ilivo kwa mtesi, wala siwez mualibia maana alimweka wazimweee, kilichokusibu umtafute tena ni nini na ikiwa ulishamuacha bila huruma? Unataka kumharibia huko woooooi
Hahaha kwaniniNikimpata mwanamke Muha au mngoni au Mnyaturu au Msukuma simuachi. Hata kama ni single mom
Wana akili kubwaHahaha kwanini
Weka na wakaskazinixWana akili kubwa
Tatizo la Wa kaskazini wana roho ngumu sana. Kumuua mumewe ili amiliki mali zote ni jambo la kawaidaWeka na wakaskazinix
Mhhh!!!Nikimpata mwanamke Muha au mngoni au Mnyaturu au Msukuma simuachi. Hata kama ni single mom
Nipo serious
Una ukatili mwingi sana aiseeHabari wakuu
Wakati tunaendelea kusubiri mwezi wacha tupige story kidogo,
Huyu bi dada nilimpata sehemu nilihudhuria harusi ya rafiki yangu, katika meza nikabahatika kukaa nae karibu hapo simjui, nilimsalimia tu ila nilimscan kabla sijanywa ni binti mzuri umri wake haujaenda sana, kwa kumkadiria hakuzidi 30 yani 27-29.
Kula gambe mdogo mdogo mazoea na pombe ni kitu ch fasta tu,yule dada nikaanza kumchombeza, kiserious namuongelesha
Unajuwa nimekuwa ispired sana kwa kuhudhuria hii harusi nimejikuta ninatamani kuoa leo kesho, kumbe nae ndo kitu alikuwa anahitaji
Sikuwa namanisha wala usiriasi kiasi icho ila kwa namna moja ama ingine kweli kuna mzuka wa kuoa unaniingia alafu unatoka,
Yule dada akanza kuwa mchangamfu pale story zikanoga huku gambe zinaendelea, harusi ikaisha pale kiukweli sikuwa serious wakati wa kuondoka nikaona nashikwa bega
Nikamkumbuka tukabadilishana namba pale safi, hee safari ya mahusiano ikaanza kesho yake baada ya kuongea sana ktk simu.
Yule mwanamke kama nilivyowaza kweli akilikuwa mbele goli moja toto la kiume, ila mumewe alifariki alinitumia picha la kaburi,
Mahusiano yakanoga nogile haswa aisee nikatubu nilikuwa muigizaji ila ikafika kipindi nikawa serious kidogo alafu ndo ivo,
Tulidate kipind Sana ye akiwa mkoa mi mkoa mwingine, haijawah pita siku hatujazungumza alikuwa na mapenzi ya kweli mno alinipenda nilimpenda kwa asilimia kadhaa grade B,
Alikuwa mtafutaji mchangamfu kama unavyowajuwa waha wa kigoma walivyo,
Mahusiano yakaendela mwaka ushakatika ila ikumbukwe sijaonja papuchi,
Tukawa tunashare mambo kadhaa kadha kupeana suport n.k, inshot aliamini mi ni mtu sahihi 101%,
Alinisihi sana nisimuache,alipa kisa cha rafiki yake wa kike alifariki kwa presha iliyotokana na sonona baada ya kuachwa na boy ake kisirisiri akaenda kuoa mwanamke mwingine,
Rafiki yake uyo alivyokuja sanuka too late akafunga safari kweli akathibitisha ndipo presha na sonona ilipomuanzia, hakukukaa mwezi akafariki,
Basi kisa icho kikawa kinamuogopesha mno wakati anadate na mimi, ukweli nilimtoa hofu na kumuhakikishia sitomuacha(Mungu nisamehe sijui nilikuwa nasema ukweli au la!)
Alishawahi nitamkia siku nikimuacha anaweza jiuwa,kiukweli alikuwa serious nilishtuka kidogo
Siku zikasonga penzi linazid kunawiri, akaanza kunisihi nikamtolee mahari ili tuwe huru zaidi hata kama mipago ya ndoa tuipage vyema,
Hapo ndo alipoanza kunivuruga,kiukweli sikuwa na mpango wa kuoa mwaka huu wala kesho,naye yupo moto anakimbizana na age pia kuondoa ile hofu
Hakika baada ya kuzungumza hayo nikawa kama gia zimepunguwa,nikarudisha penzi hadi grade C ,nikaanza movie zisizoisha mpka akashtuka ile change
Kiukweli ningemuoa ila sio kwa haraka kiasi kile, pia nikaona wacha nichukue uamuzi wa kiume ili nisije nikafanya uamuzi too late ,kwa kumpotezea muda zAidi alafu nisimuoe,
Picha likaendelea nikamlia buyu kama wiki simtafuti,simpigii sipokei nikipokea namwambia ntakupigia alafu imeisha simpigii,
Wiki nzima siku akanitumia gazeti, akanipigia nikapokea
Alikuwa analia sana kwikwi nyingi, akaniomba nimwmbie ukweli kama no more
Hadi leo sikumbuki vizuri kama nililelewa,au shetani gani aliniingia maana sikuwa yule ambaye nipo normal, roho yangu ilikuwa haina huruma hata wala ile haya
Nikamwambia naomba tuishie hapa naona nikukwaze mapema kuliko too late fulani, sina jinsi ila nimekaa nikawaza nikaona sitoweza kamilisha dhamira yako mapema,
Ila usijali nimekuacha kwa wema japo nakupenda na unastahili mume bora mwenye kujali hisia zako, ila niseme nimeishia hapa. Thank you for your love ..flan.atakuja wa zaidi yangu
Alilia sana ktk simu nilijawa na hisia flani ila sikujali,
Tangia hapo sikumtafuta hakunitafuta nikawa kama yalitokea ndotoni, sijujuwa alipitia hali gani,sikujali aliendeleaje
Siku zikaenda zikarudi miezi ikapita, juzi kati nikaja kumtext maana namba yake nilikuwa nayo
Akaniuliza we nani nikamjibu, akanirukia hewani tukazungumza salamu tu na mambo ya kawaida kirafiki,
The next day tukachati akanambia amepoka cent kadhaa kama kiinua mgongo kwa mwanae baada ya kifo cha baba yake alikuwa muajiriwa halmashauri, so apewa ml kadhaa
Nikampongeza kwa kumpambania mwanae nikampa na ushauri basi akanishukuru
Siku iliyofuata nikamchombeza nimemisi, siunajuwa watesi huwamis watumwa wao na watumwa pia huwamis watesi wao,
Ndo akaanza kufunguka kwamba kapata mwngine na analipiwa mahari soon, atanipq update ,
Akanikumbushia jinsi nilivyomuacha nikasingizia bangi ,maisha na pombe(sio mtumiaji vyote)
Akalalamika sana nilimuacha, alipitia kipindi kigumu nilimuacha gafla sana, alikonda gafla, alifikiria zaid ya mara moja kujiua, ila maombi yalimuokoa
Ila kwa bahati nzuri akampata mwingine siku tatu nne baada ya breakout yetu, akamtuliza na akarecover now ndo wapo ktk mipango ya kuoana
Kiukweli nimefurahi sana kusikia ivyo maana hakuwa na baya yule mwanamke, niimpenda yeye na mwanae, ila hii Karma itanirudia na nipo tayari kuipokea ,
Naambatanisha text
View attachment 2207554
View attachment 2207555
Nakosea?!
Sikuwa na jinsi maana aliiomba ndoa mapemat
Sio kimahusiano wala nimemkumbukaSasa unamtumia meseji za nini?
Nyie vijana bhana ndiyo mnawaharibia hawa wanawake maisha kisha mnakuja kuwatukana humu.
Mwache aendelee na maisha yake.