Singida: Yanayojiri kwenye Mkutano wa Hadhara wa Tundu Lissu Viwanja vya Stendi ya Zamani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
126,263
240,659
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo tarehe 08/06/2024 kinafanya Mkutano wake wa hadhara Singida Mjini, ambako Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atahutubia wananchi.

Kama ilivyo kawaida tunatarajia Spana za kufa mtu kuvurumishwa kwenye Mkutano huo.

Mimi Mtumishi wako nitakulerea kila kinachojiri kwenye Mkutano huo kabambe

Screenshot_2024-06-08-14-17-26-1.png

Usiondoke JF
=========
Mkwara wa DED Wayeyuka kama barafu jangwani

Hali ndio kama mnavyoona

Screenshot_2024-06-08-17-34-46-1.png
Screenshot_2024-06-08-17-35-06-1.png
 
Mlikuwa mnataka taharuki tu haya kuna mabomu yamepigwa?

Hawawezi kuthubutu. Rais anataka sana pesa ya MCC iliyofutwa kwa Tanzania kwa sababu ya udikteta, irudi. Masharti makubwa ya pesa ya MCC ni kuheshimu demokrasia, haki za watu na utawala wa sheria. Tanzania bado inafanyiwa assessment. Pesa ya MCC haikuwa mkopo bali grant, na ndiyo iliyosambaza umeme wa vijijini kwa 80%, ilijenga barabara mbalimbali, na mojawapo ni kutoka Tunduma hadi Sumbawanga.
 
Ni zaidi ya hapo mkuu 'Bams'.
Mazingira tu ya hapa hayaruhusu hali iliyokuwepo enzi ya Magufuli.
Kutumia mabavu pia kuna sifa zake, siyo kila kiongozi anao uwezo wa kutumia maguvu na kutisha watu.
 
Hawawezi kuthubutu. Rais anataka sana pesa ya MCC iliyofutwa kwa Tanzania kwa sababu ya udikteta, irudi. Masharti makubwa ya pesa ya MCC ni kuheshimu demokrasia, haki za watu na utawala wa sheria. Tanzania bado inafanyiwa assessment. Pesa ya MCC haikuwa mkopo bali grant, na ndiyo iliyosambaza umeme wa vijijini kwa 80%, ilijenga barabara mbalimbali, na mojawapo ni kutoka Tunduma hadi Sumbawanga.
Fedha ya MCC ilikuwa kiasi gani?
 
Hii serikali ya sasa haina coordination, mkurugenzi Singida anazuia mkutano wa Lissu bila kutoa sababu yoyote ya maana, huku bosi wake akiwa tayari alishasema waache waandamane wee akimaanisha kwake yeye maandamano na mikutano ya siasa sio tatizo, haiogopi sababu anajua hicho wanachosema wapinzani ni kama kelele tu hazimzuii mwenye mlango kulala.
 
Hawawezi kuthubutu. Rais anataka sana pesa ya MCC iliyofutwa kwa Tanzania kwa sababu ya udikteta, irudi. Masharti makubwa ya pesa ya MCC ni kuheshimu demokrasia, haki za watu na utawala wa sheria. Tanzania bado inafanyiwa assessment. Pesa ya MCC haikuwa mkopo bali grant, na ndiyo iliyosambaza umeme wa vijijini kwa 80%, ilijenga barabara mbalimbali, na mojawapo ni kutoka Tunduma hadi Sumbawanga.
Kumbe ndiyo maana kaufyata siku hizi!!!? Anajifanya mwanademokrasia kumbe kawekewa kwapani na mikopo ya mabeberu!!?

Sasa mm kesho naenda kuweka mkutano lango la stendi ya Magufuli halafu nione paka ananigusa.
 
Mwamba kama mwamba Tndu Antipas Lisu, haogopi mtu. Hatimaye kafanikiwa kuwadhibiti wahuni wa ccm.

Jana mwamba TAL, kasema kabisa kuwa, ni ama mkutano ufanyike hapo stendi ya zamani, au akalale ndani. Wahuni wa ccm kila wakifikiria mikopo waliopewa na walioahidiwa na mabeberu.....wakaona bora yeshee!!
 
Hawawezi kuthubutu. Rais anataka sana pesa ya MCC iliyofutwa kwa Tanzania kwa sababu ya udikteta, irudi. Masharti makubwa ya pesa ya MCC ni kuheshimu demokrasia, haki za watu na utawala wa sheria. Tanzania bado inafanyiwa assessment. Pesa ya MCC haikuwa mkopo bali grant, na ndiyo iliyosambaza umeme wa vijijini kwa 80%, ilijenga barabara mbalimbali, na mojawapo ni kutoka Tunduma hadi Sumbawanga.
Ccm hii inanusa pesa ilipo

Ngoja tuone masharti ya pesa ya uchaguzi watayaweza??

Wafadhiri safari hii wanasema lazima mshindi atangazwe

Marehemu jiwe alichukua hela zetu kwenye acc kwa nguvu kugharamia. Uchafuzi wa 2020
 
Mwamba kama mwamba Tndu Antipas Lisu, haogopi mtu. Hatimaye kafanikiwa kuwadhibiti wahuni wa ccm.

Jana mwamba TAL, kasema kabisa kuwa, ni ama mkutano ufanyike hapo stendi ya zamani, au akalale ndani. Wahuni wa ccm kila wakifikiria mikopo waliopewa na walioahidiwa na mabeberu.....wakaona bora yeshee!!
Inapendeza kwa kwel
 
Tundu Lisu safiiii! Natamani ningekuwa na mabawa niruke hadi Singida mjini nikamsikilize huyu mwamba kiboko ya jiwe, kiboko ya Makonda, kiboko ya maCCM.

Ukitaka Makonda asuse shughuli yoyote anayoifanya muulize swali lolote linalomtaja ama kumhusisha Lisu . Utasikia naahirisha press/kikao/mkutano.

Ndugu yetu Erythrocyte endelea kutupa updates mkutano wa Tundu Antipas Lisu Nchi na dunia nzima inasubiri kwa hamu, kumsikiliza rais ajaye.
 
Back
Top Bottom