jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,401
- 4,965
Baada ya Nkurunzinza kuamua kugombea tena, upinzani wa mwanzoni ulikuwa ni wa kisiasa zaidi, na ulijumuisha waburundi wa makabila yote ya wahutu na watutsi, ingawa watutsi walikuwa ndio wengi katika kupinga hatua hii ya Nkurunzinza. Mgogoro huu wa kisiasa ulimalizwa kisheria baada ya mahakama mbili tofauti kuamua kuwa tafsiri ya katiba ya Burundi inamruhusu Nkurunzinza kugombea.
Uchaguzi ukafanyika ingawa wapinzani walisusia uchaguzi kwa sababu wanazozijua wao. Sababu ya wao kutokwenda mahakamani kupinga tafsiri ya katiba haijulikani. Ni wazi kuwa wanajua hawana hoja! Ingawa haipendezi lakini ukweli ni kuwa kwa makubaliano ya Arusha, kisheria Nkurunzinza anaruhusiwa kugombea.
Baada ya kushindwa kesi za mahakamani ndani na nje ya nchi. Wapinzani wakasusia uchaguzi. Hivyo waliopiga kura ni wanachama na wafuasi wa Nkurunzinza tu. Lakini cha ajabu pamoja na kuwa wapinzani walisusia uchaguzi, uchaguzi uliandamwa na mashambulizi mbalimbali. Vituo vya kupigia kura vilichomwa moto, vikapigwa mabomu, watu walipigwa risasi, vifaa vilichomwa n.k. Ni wazi nani alikuwa nyuma ya machafuko haya. Nkurunzinza hawezi kuvamia vituo na kuua wapiga kura wakati yeye peke yake ndio anagombea! Cha ajabu the so called "international community" (read: the western countries and their media) haikulaani vitendo hivyo. Kwa nini wapinzani wafanye vitendo vya kigaidi dhidi ya raia wasiokuwa na hatia waliotaka kushiriki uchaguzi?
Uchaguzi ukampa Nkurunzinza ushindi. Waangalizi wakakubali matokeo na mpaka sasa hakuna nchi HATA MOJA DUNIA NZIMA ambayo haimtambui Nkurunziza kama rais halali wa Burundi kwa sababu yoyote ile.
Baada ya kuona hivyo maandamano sasa yamechukua sura mpya. Sasa wapinzani waandamana kwa slogan ya "sindumuja" movement. They can't be serious. Hiki ndicho kiwango cha upumbavu wao. Wameweka wazi malengo yao hadharani kwa yoyote yule ambae alikuwa na wasiwasi na hayuko biased. Hili neno kwa tafsiri rahisi ni "mimi sitakiwi kuwa mtumwa", au "I am not a slave", "not meant to be a slave" na tafsiri za karibu ya hapo.
Kwa mtu anayefahamu siasa za Burundi/Rwanda huu ni uchochezi. Of course ukiwauliza watakuambia inatafsiriwa vibaya, wao wanamlenga Nkurunzinza tu. Lakini nani hajui kuwa historically, wahutu walikuwa watumwa wa watutsi kwa miaka zaidi ya 400? Nani hajui kuwa mapinduzi yoyote ya wahutu yaliyofanyika yalisababisha wale watutsi wa "matawi ya juu" kuhamia uhamishoni kwa sababu tu ya kutotaka kuwa chini ya uongozi wa wahutu (original sindumuja) ambao wao wanawachukulia kuwa watumwa wao? Sasa wahutu ambao ndio wengi wachukuliaje hii slogan ya sindumuja ambayo inatumiwa na wapinzani ambao "coincidentally" majority ni watutsi, ambapo "coincidentally" wanayemlenga ni raisi mhutu wa chama cha kihutu kilicho madarakani baada ya kufanya vita vya miaka mingi dhidi ya serikali za kijeshi za kitutsi toka uhuru?
Hii imefanya hata wale wahutu wachache waliokuwa hawamtaki Nkurunziza kushitukia kuwa kumbe suala hapa sio kupigania demokrasia bali suala ni kabila la Nkurunziza, hivyo hata wahutu wachache ambao walikuwa wanampinga Nkurunzinza nao wamejitenga na hawa kina "sindumuja". Hii imesababisha kuanza kuonekana waziwazi kuwa wapinzani ni watutsi peke yao exclusively.
Mashambulizi na Mauaji:
Upande wa wapinzani ulishatangaza kuingia msituni na kufanya vita dhidi ya Nkurunzinza, cha ajabu wanaua raia wasio na hatia kwa kurusha mabomu hovyo, kuvamia mitaani na kumwaga risasi pasipo sababu. Kwa mtu asiyejua unaweza kuona hawa ni wendawazimu lakini angalia, kitakwimu wahutu ni asilimia zaidi ya 80 ya warundi wote, watutsi ni chini ya 20. Kimakazi watutsi wengi wako mjini Bujumbura tena wamejaa kwenye baadhi ya maeneo tu. Maeneo hayo hayashambuliwi na "waasi" ila ndio yanayoongoza kwa maandamano na vurugu dhidi ya Nkurunzinza. Mashambulizi haya ya "watu wasiojulikana" yanayoonekana ni ya hovyo hovyo, ya kupiga risasi masokoni yanamlenga nani? Niliwahi kusema, huwezi kuwa na vita kati ya wadosi na wabongo halafu useme hujui upande wa nani unarusha mabomu hovyo hovyo Tandale, na upi unarusha mabomu hovyo hovyo kisutu.
Mipango ya genocide:
Kwa anayejua siasa za watutsi na wahutu, kinachofanyika ni utengenezaji wa genocide kwa makusudi. Hatua zote zinazoendelea sasa zimeshawahi kufanya kazi Rwanda.
Sababu za vita:
Burundi: Hawa nao hawataki mazungumzo ya aina yoyote bila sababu za msingi ila wanataka vita bila sababu. Nkurunzinza hajawapiga, wala hapambani (ila anajilinda) ni rais halali na anayetambulika na nchi zote duniani. There is no legal basis ya kumpinga Nkurunzinza kwa kutumia vita. Mauaji yanayofanywa sasa na hawa ?sindumuja? hayana sababu yoyote ile. Lengo ni kughadhabisha wahutu ambao ndio majority (8/10) ya waburundi kufikia hasira za kuanza kulipa kisasi kwa kuua raia wenzao wa kitutsi, ili isemekane kuwa kuna genocide, na hivyo jumuiya ya kimataifa ipokonye utawala Nkurunzinza. Fikiria leo kutokee bomu sokoni likaua mkeo, kesho risasi shuleni, wafe wanao, hivi unadhani utaendelea kuwa mzima kichwani? Hawa wachochezi wanacholenga kuchochea ndio hicho. Kuwa ifikie wahutu wawehuke kama walivyowehuka Rwanda ili kutokee genocide.
Maandalizi ya keywords kwa matumizi ya baadae:
Burundi: Sasa hivi hawa waasi watutsi wanaofanya mashambulizi dhidi ya wahutu wanajiita "sindumuja". Kila mtu anaona kuwa hawa ni watutsi. Lakini ikitokea wahutu wakaanza kulipa kisasi dhidi ya hawa sindumuja, kesi za genocide zitakazotokea zitadai sindumuja ni tusi dhidi ya WATUTSI WOTE na sio hawa waasi wanaofanya mashambulizi dhidi ya raia wasio na silaha. Hivi kama suala ni Nkurunzinza kugombea tena, imekosekana slogan nyingine yoyote isipokuwa "sindumuja" yenye kugawa watu kimakabila?
Foreign media biaseness:
Rwanda: Mauaji ya waasi wa RPA mpaka leo hayaongelewi, hata baadhi ya watoto humu JF hawajui wala hawaoni uzito wa mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wa kitutsi, RPA, kwa MIAKA MINNE dhidi ya wananchi wa Rwanda (majority wahutu), kwa bunduki na mabomu kwa sababu media zote zinatoa uzito kwa mauaji ya siku 100 tu yaliyofanywa na wananchi wa kawaida kabisa wa kihutu dhidi ya wananchi wenzao kwa kutumia mapanga na visu. Media za kimataifa hazitoi uzito wowote ule kwa mauaji aliyofanya kagame dhidi ya mamilioni ya wahutu ndani ya Rwanda (kibeho massacre), na nje ya Rwanda (DRC). Matokeo yake Kagame anaheshimiwa kama "mkombozi" wa Rwanda wakati wapinzani wake anaowaua kila siku ndio wanaitwa magaidi.
Burundi: The same trend inaonekana sasa Burundi. Yakitokea mauaji ambayo jeshi la Burundi limepambana na watu wenye silaha, media za nje zinaonyesha mauaji. Wakiuawa wanaharakati wa sindumuja na watu WASIOJULIKANA, media za nje zinaonyesha. Lakini kila siku wanakufa makumi ya waburundi katika yale maeneo yasiyo ya kitutsi, media hazionyeshi, wanakufa wanachama vigogo wa CNDD-FDD kwa kuchinjwa lakini media za nje hazionyeshi, wala "international community" hailaani. Hii inalenga kumfanya Nkurunzinza aonekane ndie gaidi. Hata hapa kwetu majuzi tuliona b.we.ge mmoja anaitwa JoeTrippi akianza kututengeneza ila tukambwekea twitter kule akasepa?.Kinachoendelea kule Burundi sasa hivi kwa upande wa media ni exactly what people like JoeTrippi are paid to do.
Wengi wanaotumia mitandao kumuongelea Nkurunzinza vibaya ni jamii ya sindumuja ambao hata hawako Burundi, waburundi wa kweli wanapatikana kupitia hashtag hizi:
https://twitter.com/hashtag/TheSilentMajority?src=hash

Rwanda: Kagame alikataa mazungumzo na kufanya vita na serikali halali ya Rwanda chini ya raisi Habyarimana kwa miaka minne. Muda wote huo, Habyarimana alikuwa ni rais halali na anayetambulika dunia nzima na jumuiya zote za kimataifa except kwa watutsi wa RPA peke yao! Habyarimana akaamua kugawana nao madaraka kupitia mazungumzo, walipoona bado watakuwa chini ya wahutu ili hali wao ni "sindumuja", ndege itatunguliwa na wahutu wakalipa kisasi (genocide) na sasa hoja ikabadilika kuwa inabidi waingie kijeshi ili kuzuia genocide.
Burundi: Hawa nao hawataki mazungumzo ya aina yoyote bila sababu za msingi ila wanataka vita bila sababu. Nkurunzinza hajawapiga, wala hapambani (ila anajilinda) ni rais halali na anayetambulika na nchi zote duniani. There is no legal basis ya kumpinga Nkurunzinza kwa kutumia vita. Mauaji yanayofanywa sasa na hawa ?sindumuja? hayana sababu yoyote ile. Lengo ni kughadhabisha wahutu ambao ndio majority (8/10) ya waburundi kufikia hasira za kuanza kulipa kisasi kwa kuua raia wenzao wa kitutsi, ili isemekane kuwa kuna genocide, na hivyo jumuiya ya kimataifa ipokonye utawala Nkurunzinza. Fikiria leo kutokee bomu sokoni likaua mkeo, kesho risasi shuleni, wafe wanao, hivi unadhani utaendelea kuwa mzima kichwani? Hawa wachochezi wanacholenga kuchochea ndio hicho. Kuwa ifikie wahutu wawehuke kama walivyowehuka Rwanda ili kutokee genocide.
Maandalizi ya keywords kwa matumizi ya baadae:
Rwanda: Wakati wanavamia Rwanda, waasi wa kitutsi RPA chini ya kina kagame walikuwa wanajiita "inyenzi", au "Mende", wakijisifia kuwa wanashambulia usiku na mchana hawaonekani. Neno hili halikuanzia hapo bali lilianzia kwenye miaka ya 60 kwa waasi wa kitutsi wakiongozwa na Aloyce Ngurumbe. Hivyo kina Kagame kutumia neno hili lenye historia hii ililenga tu kukasirisha wahutu kwa kuwafahamisha nini hasa wanamaanisha. Baada ya genocide, zikatengenezwa sinema nyingi na vitabu lukuki na wengi wasiojua wanaamini mpaka leo kuwa "inyenzi" ni tusi liliotungwa na wahutu dhidi ya watutsi. Kumbe it was not that simple. Ukisoma tu historia unajionea mwenyewe.
Pia karne za zamani kulikuwa na mtemi wa kitutsi (Rwabugiri) aliyekuwa na jeshi lake maalum lililoitwa "inkotanyi", hili jeshi lilitumika toka zama hizo kuzima majaribio ya mapinduzi ya wahutu. Wakati anavamia Rwanda, kagame alianza tena kulitumia kwa jeshi lake akijiita RPA inkotanyi. Deliberately provoking the hutus.