MKONO MTUPU
New Member
- Sep 17, 2022
- 3
- 1
Habari wana jf, juzi kuna uzi ulipostiwa kuhusu sindano ya anti d, ila maelezo yalikuwa tofauti na nilivyoambiwa na dr. Maana shemeji yenu inabidi apate sindano hii mwezi huu ikiwa ni uzao wetu wa pili.
Dr. Maelezo yake yalikuwa kwamba mimba ikifikisha miezi saba ( within 7th month_kwa ajili ya mtoto aliyetumboni) inabidi apate sindano ile na baada ya kujifungua inabidi apate ya pili ndani ya masaa 72 kwa ajili ya kinga ya mamaa kwa uzao unaofuata,
Ila kwenye uzi ule maelezo ni kwamba apate hiyo sindano mimba ikifika wiki 28 approximately miezi saba au baada ya kujifungua ndani ya masaa 72.
NENO AU linaiminisha sindano iwe moja ya miezi saba au ndani ya masaa 72 baada ya kujifungua, hapo ndo nimeachwa bila kuelewa
Naomba wataalamu kueleweshwa zaidi kuhusu hili...
Huzi ule uliwekwa na jamaa huyu Sildenafil Citrate