GTA JF-Expert Member Jul 25, 2013 878 649 May 24, 2017 #1 Tangu Diamond Platnumz azindue mtandao wake wa kuuza nyimbo online (Wasafi.Com) kitaani kumekuwa na story kuwa Diamond hana maelewano mazuri na mitandao mingine ya kuuza ngoma online. Diamond Platnumz afunguka.
Tangu Diamond Platnumz azindue mtandao wake wa kuuza nyimbo online (Wasafi.Com) kitaani kumekuwa na story kuwa Diamond hana maelewano mazuri na mitandao mingine ya kuuza ngoma online. Diamond Platnumz afunguka.