***Aliyekunywa naye pombe au?
Utachoka tu mkuu, kuna watu wanalazimisha matukio kufananisha hata kama hayaendani kabisa, hivi kweli rais anaweza kutumbua mtu kisa sukari?Daah kuna watu sijui huwa wanafikiria nini.Kwhyo kutumbulia kwa kitwanga ndio watanzania tutasahau kuhusu sukari.Lakini siwezi kushtuka kwasababu kuna watu was too subjective on the judgement.
Wanataka mfikiri sawa wakati wengine kufikiri kwao kunadhibitiwa!Aisee kumbe kuwa na mawazo mbadala ni state of immaturity
Na ndio maana nchi ilifika hapa ilipofikiaWanataka mfikiri sawa wakati wengine kufikiri kwao kunadhibitiwa!
Kauli ya kiongozi mzuri-lazima atembee juu ya kauli zake,ama kweli DR.JPM ametukosha watanzania.Hakuna cha -''IKIDHIBITIKA ATACHUKULIWA HATUA''hii hakuna ni hapohapo unakula zao.
Hii ni fundisho kwa anayoyatamka Mh.RAIS kuwa ukipewa kazi ya nchi fanya sawasawa na inavyopasa,usije ukazungukwa na familia yako,ndugu zako,rafiki zako na kushindwa kutimiza ndoto za watanzania.
Mh.Rais wetu ni tofauti kabisa na hisia za baadhi ya watu wanavyofiki kuwa CCM ni ilele na mimi nasema hii ndiyo ccm-original,siyo ccm-iliyochakachuliwa na baadhi ya waroho wa madaraka wengine wako bado ccm na wengine wamekimbia mapema.
Mh.Rais DR.JPM gooo gooo goooooooo goooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
SHUGHULI NDIYO INAANZA WALIOZUBAA WAJIANDAEE,WENYE MAZOEA WAJIANDAEEEE.
Unafikiri kuna watu wa UKAWA wanatumbuliwa?Anawatumbua wana CCM wenzake ila UKAWA lengo lake ni kuchukua dola hata awafukuze mawaziri wote mabadiliko yanatafutwa tu kwa kuongeza wanachama. Mlimtetea sana leo mapovuKama ningekuwa chini ya miaka 18 ningekupa bonge la tusi lakini sasa nimtu mzima nikupe pole sana wewe mwanabawacha humjui jpm subiri utamjua zaidi.
Wanachama! Zanzibar utasemaje?...Unafikiri kuna watu wa UKAWA wanatumbuliwa?Anawatumbua wana CCM wenzake ila UKAWA lengo lake ni kuchukua dola hata awafukuze mawaziri wote mabadiliko yanatafutwa tu kwa kuongeza wanachama. Mlimtetea sana leo mapovu
Nadhani watoto wa wakubwa waliokuwa wanajiona wao ni kizazi kiteule, wameanza kuingiwa na hofu. Jamani tumpe support Mh. Rais anania ya dhati ya kuwatumikia watanzania. Uswahiba na kazi haviendani. Nadhani hata wale akina Mzee Clean waliokuwa wanajipendekeza ili wawe wanamwambia cha kufanya wameanza kuona kuwa siyo mtu wa kuambiwa afanye nini.Kauli ya kiongozi mzuri-lazima atembee juu ya kauli zake,ama kweli DR.JPM ametukosha watanzania.Hakuna cha -''IKIDHIBITIKA ATACHUKULIWA HATUA''hii hakuna ni hapohapo unakula zao.
Hii ni fundisho kwa anayoyatamka Mh.RAIS kuwa ukipewa kazi ya nchi fanya sawasawa na inavyopasa,usije ukazungukwa na familia yako,ndugu zako,rafiki zako na kushindwa kutimiza ndoto za watanzania.
Mh.Rais wetu ni tofauti kabisa na hisia za baadhi ya watu wanavyofiki kuwa CCM ni ilele na mimi nasema hii ndiyo ccm-original,siyo CCM-iliyochakachuliwa na baadhi ya waroho wa madaraka wengine wako bado ccm na wengine wamekimbia mapema.
Mh.Rais DR.JPM
SHUGHULI NDIYO INAANZA WALIOZUBAA WAJIANDAEE,WENYE MAZOEA WAJIANDAEEEE.
Ofcoz ukishakuwa bavicha ni ngumu mno hata kwa kiasi kutambua mchango wa JPM hvyo hata angefanya chochote still ataonekana hafanyi,bt mi nafkiri watz wengi hata wa huko Bavicha, wanamshangaa Jpm kwa maamuzi anayoyachukua maana watz hatujazoea ndani ya miaka 50 mtu anatumbuliwa on the spot,Lakini hata kama ni maigizo anaigiza ili iweje? Kwa mimi binafsi nafkiri kwa maamuzi anayoyachukua jpm ikiwa ni pamoja na kurudisha uwajibikaji na maadili lakn pia ikiwa ni kuziba mianya yote ya kuhujumu uchumi kwakwl kwa hilo sijwahi kuona raisi yoyote au waziri yoyote akifanya,hata huyo lowassa mwnyew hakuweza kufanyahayo kwa nafasi yake akiwa waziri na mbunge lakn kwa kipindi hiki utofauti upo,so panapostahili pongezi apewe tu jaman maana sidhani kama hata huyo lowasa angepew nchi hizi inshu za sukari au inshu zngne zisingekuwepo! Huo utakuwa ni ujuha wenye mahaba ya juu yenye mihemko juu yake,tumpe muda tuone maana nxt tym 2020 ndo tutaamua kumweka tena au kumtoa lakn pia chadema wajipange na mbinu mpya kwnye mikutano yao na sio waje watuletee hoja za sukari,sijui Lugumi tutawapiga mawe.
MUNGU IBARIKI NCHI YANGU
Nakupa like kiongozi, huyu ni raisi wa watu wasio na vyama. Manake naona hizi pande mbili ndio zimekuwa mstari wa mbele kulidhoofisha taifa kwa siasa zao za kipuuzi.Umesema vema lkn umeharibu ulipoingiza ccm. Huyu ni Rais wetu sisi tusio na vyama na ndiyo tuko wengi kuliko wenye vyama. Hata kura alizopata nyingi ni zetu kwa hiyo nyie ccm mliofisidi nchi kaeni chonjo dawa yenu inachemka.
Ccm asilia wanajuta kumrushia bomu ngosha wakidhani litamlipukia, upande wa pili ccm asilia wanaona bora wangeyamaliza matatizo yao na mzee wa monduli, Lakini wanasahau kuwa hii ilikuwa mipango ya Mungu kuwaokoa watanzania kutoka kwa mkoloni wa lumumba, huyu imebaki Jina tu anatoka kwenye chaka la kijani Lakini yeye sio wa kijani tenaAah wapi hii ni ccm malingalinga kama kuku wa mdondo, kuna ccm moja tu iliyokuwa na dira, na hii ilikufa na mwasisi wake...na kama unataka kudhani kuwa Magu ni ccm damu fikiri mara nyingi