Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,271
- 2,614
Kwa wale wote walio angalia game ya Prison na Simba, kwenye uchambuzi wa dakika 45 za mwanzo, ilionekana Simba kapiga shuti moja lililolenga goli na moja lisilolenga, kitu ambacho si sahihi hata wao wachambuzi walikiri hazipo sawa.
Je, ni leo tu wamekosea? au ni mbinu za makusudi ? Na vipi za huko nyuma ni za kweli au?
Je, ni leo tu wamekosea? au ni mbinu za makusudi ? Na vipi za huko nyuma ni za kweli au?