habari wadau, mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, Nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaina ICT, panapomajaaliwa mwezi wa saba namaliza na kurudi kazini ila KIUKWELI SINA FURAHA NA KAZI YANGU kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazingira na maslah, je nifanyeje wadau
Kaa huko huko shule mpaka siku utakapoelimika maana unaonekana bado ni pimbi, ACHA KAZI KAMA HUIPENDIhabari wadau, mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, Nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaina ICT, panapomajaaliwa mwezi wa saba namaliza na kurudi kazini ila KIUKWELI SINA FURAHA NA KAZI YANGU kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazingira na maslah, je nifanyeje wadau
Punguza ukali wa maneno.Kaa huko huko shule mpaka siku utakapoelimika maana unaonekana bado ni pimbi, ACHA KAZI KAMA HUIPENDI
habari wadau, mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, Nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaina ICT, panapomajaaliwa mwezi wa saba namaliza na kurudi kazini ila KIUKWELI SINA FURAHA NA KAZI YANGU kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazingira na maslah, je nifanyeje wadau
habari wadau, mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, Nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaina ICT, panapomajaaliwa mwezi wa saba namaliza na kurudi kazini ila KIUKWELI SINA FURAHA NA KAZI YANGU kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazingira na maslah, je nifanyeje wadau
Ebu rekebisha kwanza kwenye red hapo, naona kweli kazi ya ualimu imekuchanganyahabari wadau, mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, Nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaina ICT, panapomajaaliwa mwezi wa saba namaliza na kurudi kazini ila KIUKWELI SINA FURAHA NA KAZI YANGU kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazingira na maslah, je nifanyeje wadau