Unaminya *#06# itakuletea IMEI namba utazicopy pembeniHivi tunaangaliaje km ni fake?????
Asante! Mimi IMEI # ipo kwenye simu kuna sehemu imeandikwa about phone kwenye settings...!Unaminya *#06# itakuletea IMEI namba utazicopy pembeni
Kisha utazituma hizo namba {IMEI} kwenda namba 15090.
Inatakiwa ikuletee model namba na manufacturer sawa na simu yako mfano:- kama simu yako ni huawei y530,na manufacturer ni huawei company ltd, sms itakayotumwa inatakiwa model namba na manufacturer zifanane
Ok basi utatuma kwenda kwa hizo nambaAsante! Mimi IMEI # ipo kwenye simu kuna sehemu imeandikwa about phone kwenye settings...!
Siyo bhana ni version tu na model ila sasa nikituma #06# kwenda tigo naambiwa unknown application.Ok basi utatuma kwenda kwa hizo namba
*#06# kwa ajili ya kuchek imeiSiyo bhana ni version tu na model ila sasa nikituma #06# kwenda tigo naambiwa unknown application.
Ndiyo nikiandika nijafanya km kupiga naambiwa unknown application nimejaribu narudishiwa ujumbe uleule haileti hiyo IMEI#*#06# kwa ajili ya kuchek imei
Imei unatuma kwenda 15090
Mkuu imekubali na zimetokea [HASHTAG]#mbili[/HASHTAG] zinatofautiana digits 2 za mwisho nazituma zote 2 au moja ila imedisplay IMEI NAMBA*#06# kwa ajili ya kuchek imei
Imei unatuma kwenda 15090
Nimetumia zote ni original mkuu..!Unaweza tumia moja kwa uhakika zaid jaribu kucheki zote
Asante na ubarikiwe.Unaweza tumia moja kwa uhakika zaid jaribu kucheki zote