Simu yangu SMS za zamani zinajirudia rudia

komunisti

JF-Expert Member
Jan 5, 2015
1,144
1,600
Nina simu yangu huawei y 540 ambapo mesagge zimekuwa zikijirudia rudia yaan mfano nimezima simu nikiiwasha messge hata nilizotumiwa cku za nyuma zinarudi hata kama nimeshazifuta je nn tatizo?nifanyeje kuondoa tatizo hili?
 
Hata zilizotumwa kwa voda zinajirudia na hata kama nikitoa laini zote simu ikabaki empty bado tu sms zinajirudia
 
Nina simu yangu huawei y 540 ambapo mesagge zimekuwa zikijirudia rudia yaan mfano nimezima simu nikiiwasha messge hata nilizotumiwa cku za nyuma zinarudi hata kama nimeshazifuta je nn tatizo?nifanyeje kuondoa tatizo hili?

Labda uli backup data.Kila ukiwasha inakuwa ina synchronize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…