University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Habari wadau wa JF,
Natumia Tecno L8 Plus, kuna siku nilireboot baada ya kuona line ya upande mmoja haisomi network. Tangu nireboot huwa inajiwasha yenyewe na kujizima. Inavyojiwasha huwa inaishia kwenye logo ya Tecno na kujizima na baadae inawaka kabisa na kuja kwenye uwanja wa apps na naitumia vizuri na baadae huanza upya kujiwasha na kujizima hufanya hivi kila siku.
Je, nifanyeje ili tatizo la kujiwasha na kuijizima liishe immediately?
Msaada tafadhali.