Kama maada ilivyo hapo juu nina simu yangu Huawei ascend g7, niko nayo kwa mda wa miaka mitatu ilikua ikisoma usb cable mara tu nichomekapo kwa kifaa kingine ajabu imeacha kusoma yapata mwezi sasa nigeomba kujua labda kunasehemu nimeshalikologa si unajua simu kubwa mambo mengi.