Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 1,031
- 2,280
Wasalaam,
Kuna jamaa yangu alichukua simu ya mkopo (samsung galaxy A04), ambayo amekuwa akilipia kila baada ya wiki 1, na sasa amemaliza deni lote lakini cha ajabu baada ya malipo ya mwisho simu hiyo ilifungwa tena, bado inadai malipo!
Ameshajaribu kusolve changamoto hiyo, hajafanikiwa, Na waliomkopesha walimwambia asubiri ndani ya masaa machache mpaka sasa wapi!
Afanyeje zaidi au achukue hatua gani waungwana?