ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,318
- 50,531
Model:TMU32chaja ni ile ile au umebadili? kwa tablet chaja yake inatakiwa iwe na ampere kama 2. angalia hio chaja utaona kuna maneo yameandikwa tafuta neno ambalo lina herufi A kwa mbele mfano
2A, 1A, 0.9A nk halafu lipost hapa
Wadau tablet ya techo H8 mwanzon nilivo Nunua ilikuwa inakua full kwa muda hata wa masaa 2 na nusu ila siku hizi iwe full unachukua zaidi hata ya masaa 13 . apps nimeweka nyinginyingi games pia Zipo ila situmii sana Kibaya zaidi ina internal battery(battery lake la moja kwa moja)
Nini linaweza kuwa tatizo na namna gn ntaweza ku fix.
Ndio nachofanya nazima nalala sa 5 naamka sa 1 bado haijafika hata 70% naondoka naiacha chaja manake mara nyingi sitembei nayo, naondoka narud ghetto saa 4 asbh nakuta asilimia 93 nakaa mpk sa 5 nakuta 99% Mia haifiki naamua kuitoa naiwashaZima data au izime io tablet / simu iweke kwenye chaji ndio itajaa
Chukua iPad Air hutakutana na madude ya hivyo, chaji ni 2-3 hrs na inakaa wiki (kwa matumiz yangu)Ndio nachofanya nazima nalala sa 5 naamka sa 1 bado haijafika hata 70% naondoka naiacha chaja manake mara nyingi sitembei nayo, naondoka narud ghetto saa 4 asbh nakuta asilimia 93 nakaa mpk sa 5 nakuta 99% Mia haifiki naamua kuitoa naiwasha
Na ubaya battery lake la ndani
Model:TMU32
Accessories - charger
Input :100-240~50/60hz 500mA
Output5.0=20A
Date 2T20150523
MADE IN CHINA
Asante kwa ushaur wako mkuuchaja ni ndogo sana hio kwa tablet 500mA ni sawa na 0.5A
azima hata kwa mtu au tafuta chaja yenye 2A utest then kama itajaza upesi kanunue nyengine. ila ni ngumu sana kupata chaja za tablet hapa bongo hivyo inabidi uwe makini kwenye huo utafutaji
Ndio nachofanya nazima nalala sa 5 naamka sa 1 bado haijafika hata 70% naondoka naiacha chaja manake mara nyingi sitembei nayo, naondoka narud ghetto saa 4 asbh nakuta asilimia 93 nakaa mpk sa 5 nakuta 99% Mia haifiki naamua kuitoa naiwasha
Na ubaya battery lake la ndani
Ndio nachofanya nazima nalala sa 5 naamka sa 1 bado haijafika hata 70% naondoka naiacha chaja manake mara nyingi sitembei nayo, naondoka narud ghetto saa 4 asbh nakuta asilimia 93 nakaa mpk sa 5 nakuta 99% Mia haifiki naamua kuitoa naiwasha
Na ubaya battery lake la ndani
Zima data au izime io tablet / simu iweke kwenye chaji ndio itajaa
Zima data au izime io tablet / simu iweke kwenye chaji ndio itajaa
Zima data au izime io tablet / simu iweke kwenye chaji ndio itajaa
Angalia kama kuna update nyengine.Wadamu natumia simu ya samsung Grand prime plus, kuji kati nimefanya software update baada ya kuinstall tu, bettery ya simu imekuwa dhaifu sana, simu inachelewa kujaa tofatut na kipind cha nyuma, hivyo naomba ushauri nifanye nini.
pole sana mkuu.umeizidishia uwezo hyo simu kwa maaana nzur imeelemewa na update uliyo install madhara yake ndo kama hayo pamoja na ku hotWadamu natumia simu ya samsung Grand prime plus, kuji kati nimefanya software update baada ya kuinstall tu, bettery ya simu imekuwa dhaifu sana, simu inachelewa kujaa tofatut na kipind cha nyuma, hivyo naomba ushauri nifanye nini.
weka specs za charger yakoNapata problem sawa na hiyo kwenye infinix hot 8..naichaji usiku wote mpaka asubuhi nakuta 60%..anaejua solution please let me know what to do
Sent using Jamii Forums mobile app
Napata problem sawa na hiyo kwenye infinix hot 8..naichaji usiku wote mpaka asubuhi nakuta 60%..anaejua solution please let me know what to do
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuja kukushukuru mkuu ushauri wako umekuwa tiba haswaaWe wa infinix tatizo ni charge yako nakushauri utafute kichwa cha tecno na usb ya nokia zinauzwa agrey pale utakuja kunishukuru
Sent using Jamii Forums mobile app